TANZIA Buriani Paul Buchira Katamuzi - (CATAUX Computer. co)

Sikumbuki ni mwaka gani hasa, ila nilishawahi kwenda pale ofisini kwake kama mara mbili hivi, hata nilimtania kwamba naona yuko vizuri baada ya kuona amechukua room 2 pale na kuziunganisha badala ya 1 kama wenzake wanaomzunguka.
Apumzike kwa amani, natoa pole kwa familia, marafiki na wote tunaomjua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom