Prince Mhando
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 9,595
- 12,086
Nasikitika sana kuwatangazia kifo cha mwanajamiiforums Paul Buchira Katamuzi sijajua kuwa humu alikuwa anatumia jina gani ila alikuwepo na mara nyingi alikuwa anaizungumzia ofisi yake {CATAUX COMPUTER} iliyokuwa inahusika na ufundi kompyuta ama simu na uuzaji wa vifaa vya simu na kompyuta iliyopo pale mwenge.
Leo imekuwa siku ngumu sana kwangu na watu wako wa karibu. A very humble friend, hard worker, rafiki usiye na mAkuu. Tumefanya kazi nyingi kwa muda mrefu, siamini kama umeondoka kaka. Kweli duniani tunapita tu.
I know you are in a better place and one day we shall meet again, gone, but never forgotten.
Rest in Soul brother.
Chanzo cha mimi kufahamiana na marehe Paul...ni hapa hapa jamiiforums...laptop yangu ilipata tatizo nikampelekea jamaa alinipokea vizuri sana pale ofisini kwake {cataux computer} Mwenge alishindwa kuitengeneza komputer yangu na aliniambia tu kuwa ile kompyuta isinge faa kutengenezeka.
Paul Buchira Katamuzi mwenyezi Mungu akupe pumziko zuri uko ulipo nina amini kuwa umetangulia kutuwekea nafasi tutakukumbuka sana