TANZIA Buriani Fr. Joseph Bill

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
fc87b488b98b4e5e8a7bec4c08add43f.jpg

It is with sadness, I found about the passing of Fr. Joseph Bill, a friend and confidant for many years back. Nilimfahamu kwa karibu na kwake nilijifunza mengi.

Baadhi ya jinsi nilivyo sasa ni matokeo ya maongozi ya mtumishi huyu wa Mungu ambaye kwa hakika ameyagusa maisha ya watu wengi hasa katika eneo letu la Afrika ya Mashariki na nje.

Ni pigo kubwa kwangu, na kwa wengi ambao tulimuita rafiki na siyo padre tu au mhubiri, lakini mtu ambaye tulimuona, kuzungumza naye, kucheka, na kula pamoja naye nje ya altare au kwenye "Popular missions".

Alifariki siku ya 14 March 2008 na kuzikwa jana, ambayo kwa wakatoliki ni siku Kuu ya Mt. Joseph (wajina wake).

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Unaweza kujifunza mengi kuhusu Fr. Bill (kama wengi tulivyozoea kumuita) hapa: http://frbillusa.net/news.html na kama uliwahi kumfahamu unaweza kutia sahihi kitabu cha maombolezo hapa: CELEBRATRE FR. BILL'S LIFE

It has been a shocking day for me but also a day that I'm eternally grateful to have known this gifted priest of the Catholic Church.

Nawaombea ndugu jamaa, na marafiki wote faraja wakati huu.

M. M.
 
oooh, huyu father amefariki,dah nakumbuka kwenye miaka ya 1999/1998 alikuja arusha nakufanya maombi pale sheikh amri abeid karume.
I was healed that day from asthma.
Rest in peace.
 
Rest in Peace Fr. Bill

Namkumbuka sana na alibadilisha imani yangu kwa kiasi kikubwa sana alikuja kwenye Easter Comference Iliyofanyika Weruweru Secondary 1995. Alitenda miujiza ya ajabu. Mungu akupokee kwenye ufalme wako kwani ulitenda kazi yako kama alivyokutuma. Bwana metoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe, Roho ya Marehem Fr. Bill ipumzike kwa amani. Amen
 
Year, retreat pale Nyegezi Kilimani ilikuwa safi.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
Mungu wetu Yesu Kristo aliyemuumba Fr. Bill, hatimaye amemchukua kwa kuwa ana haja naye. Bwana alitoa na Bwana ametwaa; Jina la Bwana libarikiwe. Amen

Mwaka 1995 nilihudhuria semina yake pale mbagala spiritual centre, pia nilihudhuria popular mission yake pale Magomeni.

Ametimiza kazi ya Bwana.
 
Nilikuwa simjui huyu mtumishi wa Mungu lakini inaonekana he lived to the standards of his calling!

I always cherish these people because without doubt they contributed immensely to make me who Iam today. Sijui leo ningekuwa wapi nisingepewa that famous opportunity ya kufanya mtihani wa seminari! It forever changed my life!

Napenda kuwapa pole vile vile wale waliomfahamu, kwa kuondokewa na mtu mliyempenda. Poleni.

RIP Father Bill.
 
Back
Top Bottom