Burian bibi anna kipingu 1926-2010(bibi kokooo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Burian bibi anna kipingu 1926-2010(bibi kokooo)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by sijafulia, May 15, 2010.

 1. s

  sijafulia Member

  #1
  May 15, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wpendwa katika bwana napenda kutoa shukran kwa wale wote walioshiriki
  pamoja nami katika kumwaga bibietu bibi anna kipingu alietwaliwa na mungu
  katika ulimwengu wa dunia hii na kwenda kuandaa makao huko mbinguni
  Tutakukumbuka bibi kwa mapenzi yako na msaada wako wa mawazo
  kwa zaidi tunashukuru kwa upendo uliotuavhia sisi wajukuu
  Bibi najua sikuweza kukusindikiza mpaka korogwe lakini naamini Mungu atalinda
  huko uliko...kwa niaba ya familia ya kipingu,familia ya marehemu S.MBEZI
  tunatoa ahsante zetu kwa wote walioshiriki katika hali na mali katika kuwezesha kumsafirisha bibi yetu kuelekea LUSHOTO nyumban kwake ambapo atazikwa
  kesho katika makao yake ya milele

  Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe
   
Loading...