BUREAU DE CHANGE

duche boi

Member
Nov 28, 2016
30
11
Kwema wana Jf

Naomba kufahamishwa Kama kuna apps au ni kwanjia gani taweza kujua mabadiliko ya fedha za kigeni bei za kuuzwa na kuuza kila siku katika simu yangu. Naomb mnifahamishe wandugu
 
Mimi huwa natumia xe currency ipo playstore inanisaidia sana kufanya calculation ya fedha mbalimbali za kigeni
 
Back
Top Bottom