Bureau de Change yenye rate nzuri ni ipi?

pascal luoga

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
232
257
Habari wana JF.

Nahitaji kujua Bureau de Change yenye rate nzuri kwa maeneo ya Kariakoo mpaka Posta, nina dollar zangu kadhaa kama 348$ nahitaji kwenda kuzichange siku ya leo.

Naombeni kujua ndugu zangu.
 
Bureau nyingi sasa zimefungwa na chache wamebanwa wafuate bei elekezi. Mlimani City inachezea 2316, Airport ipo 2318. Hata huko Posta I think hutopata zaidi ya 2320
 
Unachini ya $50 unaanza kuwaza waza tena.Kabadili popote tu.

Nyingi huwa zinafanya $1-$50 bei yake na >$50 bei ile iliyopo sokoni. Wengine mpaka kuanzia USD 100 ndo wanabadilishia kwa hiyo 2300. Chini ya USD 100 utakuta wanakupa 2000-2900 kwa dola 1.
 
Back
Top Bottom