Bungoma court sentences Tanzanian men to 42 years in jail

mwathadan

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
3,054
4,101
Two Tanzanian men were, on Wednesday, January 31, sentenced to 42 years in jail by a Bungoma court for using children living with disabilities to beg for money, which they (Tanzanian men) end up pocketing.
While giving her verdict, Webuye Resident Magistrate Nancy Barasa said the two, Madukhu Mbashani, 26, and Manywele Kwela, 23, were also found guilty of being in the country illegally.
The two were sentenced to 40 years in jail for illegal trafficking and parading of children living with disabilities. They were sentenced to another two years in prison for being in Kenya without legal documentation.
The court heard that Mbashani and Kwela were, until their recent arrest, parading two children in the streets of Bungoma to beg for money from passersby.
Police said they arrested the two after receiving a tip-off from Webuye town residents.
Confirming the incident, Bungoma East DCIO Paul Mumo urged unscrupulous ‘businessmen’ to refrain from using children living with disabilities to make money.
 
What about the kids, were they taken to their homes of they were thrown into the street??
 
Hope there is no framing to facilitate other issues behind the door.

I just wish to know how Nairobi deals with irresponsible parents.

Hivi ndivyo nchi inavyoendeshwa, muache kulialia kila mara kutaka kuishi kwa kutofuata sheria kwa kisingizio cha ujirani mwema, hongereni sana kwa hili
 
Wafungwe tu hao ma diaspora wa CCM.
Huku hao ombaomba wanadhaminiwa Na makao makuu Dodoma. Na Wala hawakamatwi Wala kufungwa, hata wakifungwa wanafungwa kimaigizo tu
 
Unajua hii ni kesi ya ombaomba wa barabarani waliokua wanazunguka na ho watoto wawili kuomba..!?

Sasa hukumu hiyo ni ya ajabu kabisa...Miaka 42 kwa kesi ya ombaomba?Aisee,huyo Nancy Barasa ana matatizo kabisa ya akili!

Miaka 42????

Jesus!
 
Hivi ndivyo nchi inavyoendeshwa, muache kulialia kila mara kutaka kuishi kwa kutofuata sheria kwa kisingizio cha ujirani mwema, hongereni sana kwa hili
Ndugu yako Manywele leo kapatikana. Ntakosea nikiita hao jamaa zenu Manyang'au? Au jina hilo lina hadhi yake?
 
Sasa ngoja na sisi tufungulie bomba la kuwatimua tutafisha tz yote asiwepo mkenya hata mmoja
 
What about the kids, were they taken to their homes of they were thrown into the street??

Usually they are put under care of County Social & Children's Welfare Officer who puts them in a children's home till any responsible next of kin or guardian is traced. If no kin traced,they're permanently registered under state care and protection
 
Nimeuliza hili swali sehemu nyingine, mbona kati ya nchi majirani zetu wote, Tanzania ndio hujaza omba omba kwetu. Ukiangalia Sudan na Somalia wapo kwenye vita kila siku lakini hutakuta raia wao pembezoni mwa barabara za Kenya wakiomba, sijawahi ona Mganda, Mrwanda au hata Mrundi, ni Watanzania tu.

Sasa hawa wamefungwa kwa kuwatumia watoto kuomba omba, japo hiyo miaka na mingi sana.
 
Nyang'au is special for a special country

We've been telling you here that hoards of Tanzanian beggars are all over Kenyan towns. Using underage children for begging is what attracted the wrath of authorities otherwise nobody bothers with adult beggars even if they are exploited by their Tanzanian sponsors who ferry them in. So nothing so special with this even Kenyans face the same fate if they do that.
 
Unajua hii ni kesi ya ombaomba wa barabarani waliokua wanazunguka na ho watoto wawili kuomba..!?

Sasa hukumu hiyo ni ya ajabu kabisa...Miaka 42 kwa kesi ya ombaomba?Aisee,huyo Nancy Barasa ana matatizo kabisa ya akili!

Miaka 42????

Jesus!

Boss, hio ni kesi ya human trafficking. Kawaida kesi za human trafficking, murder and rape huwa na vifungo virefu vya zaidi ya miaka 20
 
Boss, hio ni kesi ya human trafficking. Kawaida kesi za human trafficking, murder and rape huwa na vifungo virefu vya zaidi ya miaka 20

Baba wa Nairobi!

Hiyo article nilivyoelewa mimi,japokua English yangu ni suspect,ni kwamba,hawa jamaa wawili walikua wanawatembeza watoto wawili walemavu kufanya shughuli za kuomba pesa mitaani.

Cha ajabu wamepewa kesi ya human trafficking....

Hebu soma vizuri halafu nitafsirie mkuu,maana hizi lugha za mkoloni ni janga hapa TZ!
 
Nimeuliza hili swali sehemu nyingine, mbona kati ya nchi majirani zetu wote, Tanzania ndio hujaza omba omba kwetu. Ukiangalia Sudan na Somalia wapo kwenye vita kila siku lakini hutakuta raia wao pembezoni mwa barabara za Kenya wakiomba, sijawahi ona Mganda, Mrwanda au hata Mrundi, ni Watanzania tu.

Sasa hawa wamefungwa kwa kuwatumia watoto kuomba omba, japo hiyo miaka na mingi sana.

Huwa wanakataa ati hakuna,leo hii wameanikwa wazi. I've seen these beggars even in smaller places like Salgaa, Mai Mahiu (highway stop-over centres).
 
Huwa wanakataa ati hakuna,leo hii wameanikwa wazi. I've seen these beggars even in smaller places like Salgaa, Mai Mahiu (highway stop-over centres).
Ni mtu mwendawazimu tu ndiye atakayekua anashangaa kuwepo kwa omba omba, dunia yote hata kule Europe ambako wanatoa pesa kwa wasio na kazi kila mwezi na bado kuna omba omba, sidhani kama ni jambo la kushangaza kwasababu hakuna nchi duniani isiyo na omba omba.

Kwanini wanakuja Kenya?, jibu hilo hapo limepatikana leo hapo mahakamani, kwamba kuna watu wanawaleta huko kama vile matajiri wa madawa ya kulevya wanavyotumia watu kwenda kuwabebea mizigo yao, huku Tanzania huwa wanadhibitiwa sana wasizagae mitaani, nchi pekee ambayo haifuati sheria na vyombo vya ulinzi vimejaa rushwa ni Kenya, ambapo wanaweza kuingia na kuishi bila kufuata sheria, ndiyo sababu wanakimbilia huko. Kitendo cha mahakama kuwafunga hao jamaa ni dalili nzuri kwamba sasa hivi Kenya inaanza kufuata sheria mlizojiwekea badala ya kuongoza nchi kienyeji, hongereni sana
 
Back
Top Bottom