Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,442
- 113,452
- Thread starter
- #61
MAKAH, nadhani tofati yetu ni uelewa wa alichokisema Wenje, amesema kambi ya upinzani inapinga chanji kurudishwa serikali bali wanaunga mkono chenji irudishwe ila iwekwe kwenye akaunti maalum. Akasema kama ni maofisa wa serikali ndio waliofanya 'madudu ' yale, tutawaaminije tena tuwarudishie na hiyo chanji wasije wakaifanyia 'madudu' mengine?.RED: Kama nimemsikiliza vizuri Wenje nasema hakusema hivyo. kasema ni dharau kubwa kwa serikali yetu kutopewa hiyo chenji na badala yake kupewa ngos za waingereza. amepigilia msumari kuwa serikali iwachukulie hatua "wazalendo" waliohusika katika uchafu huo au la wananchi wanaweza shindwa amini usalama wa hiyo chenji itakaporudishwa.
mchango wa waziri kivuli nimeupenda hadi wana magamba wanamuunga mkono e.g. Mh Manyanya