BUNGENI: Wenje amlipua Membe; yeye atoa onyo kwa mabalozi!

Kumbe ulokole dili ktk siasa za bongo eeh..!! Mimi mwenyewe wa bugarika Mwanza, mbona sijamtuhumu Wenje kama unavyoropoka hapa...
Mkuu hajaropoka kama unavyosema, ila naona wewe ulipitiwa hukusoma hii,, ila bado ipo, kasome vizuri kwa wakati wako


[h=2]Sikujua kama wenje ni kivuli kabisa...[/h]

Ameanzisha ugomvi na walioshindana nae kwenye kura za maoni mwanza
sasa akienda mwanza anawatafuta wazee wachache na kujificha nao wanapanga mbinu za kuwamaliza wenzake
alileta hoja ya kijinga sana kwenye cc ya chama eti, vijana fulani wafukuzwe chama ili wasimwangushe
mbaya zaidi amekua kama masha, anagombana na hapatani na madiwani wake kama alivyokuwa masha,sasa ajiandae tu.
Alitukana wazee wa kisumkuma eti waliomchagua ni vijana sio wazee.
amehamia dsm na familia yake na kuwaacha watu solemba na akienda mwanza anapitapita mitaani tu na kujifanya anakula kwa mama ntilie kumbe anawaroga vijana wampende,
ALIZUIA BAJETI YA MPANGO WA KUWASOMESHA WATOTO WA MWANZA, KISA YEYE ANA KAMFUKO KAKE KA KUWASOMESHA WATOTO YATIMA, NA HAWAPEWI WOTE NAFASI HIYO, ALIIPINGA KWA NGUVU ZOTE ILI APATE CHATI NA KA MFUKO KAKE.
hahaaa amepotea kabisa au pengine amegundua harudi tena kugombea, lakini watu wanadai alichoahidi aache ujinga huu, uhamba wa kuhamia dsm ni wawajinga .
Kanakunywa pombe kishamba sana, wakati wa kampeni aklikuwa kanajinadi kuwa kameokoka..kshnzi kabisa.

NINAMSHAURI AACHE UGOVI NA MADIWANI NA VIJANA AMBAO NI WA MWANZA, TENA HATA SISI TUKIMALIZA MASOMO TUTAENDA MWANZA KUWAULIZA ALICHOKIFANYA, CDM ISMKUMBATIE MJINGA KAMA HUYU WATU WAMEKUFA KWA UJINGA WAKE NA ANAHAMIA DSM, NI UFA...LA KBISA.
 
membe huwa akiwa anaongea huwa simwamini kabisa.......
Sasa tukusaidieje katika hilo tatizo lako binafsi la kutoamini watu, tena bila sababu za msingi?

Kwa babhati mbaya ukweli au uongo haupimwi kwa kitendo chako wewe cha kuamini au kutoamini watu. Wacha mamilioni ya watu ambao wana imani na watu ambao hawana rekodi wala historia ya uongo wajenge imani kwa viongozi wao.
 
Membe hawezi kuongoza nyumba yake ataiongoza nchi? hatuwezi kurudia makosa tena tumejifunza kwa kikwete hatuna hamu na magamba tena.nyie chukueni rushwa zenu kwa muda wa mwisho.
umeongea yoote dada yangu hatutaki wacheza VIDUKU IKULU!
 
RED: Kama nimemsikiliza vizuri Wenje nasema hakusema hivyo. kasema ni dharau kubwa kwa serikali yetu kutopewa hiyo chenji na badala yake kupewa ngos za waingereza.
Ohoo, sasa tumwamini nani? ninyi nyote mnasema mmetazama Wenje akiongea sasa mbona mnakuja na story tofauti??
 
sasa tukusaidieje katika hilo tatizo lako binafsi la kutoamini watu, tena bila sababu za msingi?

Kwa babhati mbaya ukweli au uongo haupimwi kwa kitendo chako wewe cha kuamini au kutoamini watu. Wacha mamilioni ya watu ambao wana imani na watu ambao hawana rekodi wala historia ya uongo wajenge imani kwa viongozi wao.
hahha kwa hapa hata mimi simwamini kabisaa membe naona ni hatari kuliko hata jk hv ninyi magamba hata kama mnataka kutawala milele nchi hii ndo mnataka kuchakachua kura kwa kupitia kilaza mwingine membe?? Yaani hakuna watu ndani ya ccm daa!
 
Hii haitazuia Membe kuwa Rais 2015

wanataka kumchafua
kama ni RAIS kutoka CCM 2015 basi EDWARD LOWASSA anaweza ni rais bora huyu AMEJIFUNZA MENGI na hawezi kuzunguka zunguka kuangalia vitega uchumi nje kama wanao kuwa mawaziri wa nje
 
mkuu kwani wao ni matope lakini kinachoonekana hapa ni yeye mwenyewe ndo anajitia madoa na sio kina Mh Wenje..
Mbona hayo madoa wengine hatuyajui? Au ana ubadhirifu gani mtu huyu nasi tujue? Je ni fisadi naye? Si mzalendo mwenye kuipenda nchi?
 
Hakika ni kichekesho maana hicho kinachoitwa kulipua ni upuuzi mtupu maana kila tukiangalia hakuna jipya zaidi ya yale ambayo tumezoea kuyasikia na mengine ni yale ya wale wapinzani wake kama issue ya shamba la Arusha ambalo tukio lake lilitokea mwaka 1986 wakati huo Membe akiwa ni mtumishi wa kawaida wa serikali. Hivi unaposema hela iwekwe kwenye escrow account, ana maana gani? Anajua Escrow Account matumizi yake huwa ni vipi? Kwa bahati mbaya sana wakati anaongea hili, bunge la Uingereza na serikali vimeshaiamuru BAE walipe fedha hizo haraka serikalini.

Mimi nashangaa mtu kulalamikia ziara za nje wakati hiyo ni sehemu ya ushirikiano wa kimataifa na linafanywa na kila nchi. Kwani Marekani inapotuma rais au waziri wake wa mambo ya nje kote duniani anatembeza bakuli? Ninachokiona hapa ni ama upeo mdogo wa shughuli za kimataifa au ni kutumiwa katika siasa za amji taka.

Exactly. This tells what is in your head??!!!
 
JF ina interaction kubwa sana, najua watu wengi ambao wako nje ni members humu, na wengi wao lazima wana manufaa ya jumla au binafsi na balozi zetu huko nje, wizara husika, Membe kama waziri, maofisa lukuki waliotapakaa dunia nzima. Kumuatack Membe ndani ya hii forum najua lazima itakuwa kazi ngumu sana. Any way wanajamii kwa angalizo hilo mnaweza sasa kufuatilia huu mjadala kwa uakini.
 
JF ina interaction kubwa sana, najua watu wengi ambao wako nje ni members humu, na wengi wao lazima wana manufaa ya jumla au binafsi na balozi zetu huko nje, wizara husika, Membe kama waziri, maofisa lukuki waliotapakaa dunia nzima. Kumuatack Membe ndani ya hii forum najua lazima itakuwa kazi ngumu sana. Any way wanajamii kwa angalizo hilo mnaweza sasa kufuatilia huu mjadala kwa uakini.
hilo nalo neno!!
 
Safi sana kamanda Wenje kwa kazi yako, nimefurahi/ninafurahi kwa utendaji kazi wako mzuri, kweli hatukupeleka gume gume!
 
Kwa leo nilikuwa napita tu, ila tunaomba dada yetu REGIA MTEMA atuwekee hapa jamvini hiyo ripoti ya kambi ya Wapinzani iliyosomwa na Waziri Kivuli WENJE.
 
Back
Top Bottom