BUNGENI: Waziri Dorothy Gwajima adai wanaume hawaonekani hadi utumie miwani

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,518
Prosper Muro

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa wanaume hawapo na kuonekana kwao ni hadi uwatazame kwa kutumia miwani ya X-ray.

Kauli hiyo ameitoa leo Juni 16, 2021, Bungeni Dodoma, mara baada ya Mwenyekiti wa Bunge Mh. Mussa Azzan Zungu, alipomuita kwa ajili ya kujibu swali lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Halima Mdee, ambapo Mh. Zungu aliuliza kwamba 'Wanaume mpo?

"Mheshimiwa Zungu wanaume hawapo, inakuwa shida sana kuwaona mpaka uvae miwani ya X-ray," alijibu Waziri Dkt. Gwajima.

June 16, 2021
Bungeni, Dodoma

Naona huyu mama anaendelea kututafuta.

Kuna kipindi alikuwa ziadani akauliza "Wamaume mpoo, wakajibu tupoo akaendelea mpo wapi mbona siwaoni"

Ni kweli huyu mama "hatuoni??" Au
 
Uyu mmama,
Ukimfatilia vizuri, Faili lake lazima liwepo milembe.

JamiiForums-78102992.jpg
 
Prosper Muro

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa wanaume hawapo na kuonekana kwao ni hadi uwatazame kwa kutumia miwani ya X-ray.

Kauli hiyo ameitoa leo Juni 16, 2021, Bungeni Dodoma, mara baada ya Mwenyekiti wa Bunge Mh. Mussa Azzan Zungu, alipomuita kwa ajili ya kujibu swali lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Halima Mdee, ambapo Mh. Zungu aliuliza kwamba 'Wanaume mpo?

"Mheshimiwa Zungu wanaume hawapo, inakuwa shida sana kuwaona mpaka uvae miwani ya X-ray," alijibu Waziri Dkt. Gwajima.

June 16, 2021
Bungeni, Dodoma

Naona huyu mama anaendelea kututafuta.

Kuna kipindi alikuwa ziadani akauliza "Wamaume mpoo, wakajibu tupoo akaendelea mpo wapi mbona siwaoni"

Ni kweli huyu mama "hatuoni??" Au
Tatizo la wabongo vitu ambavyo vimezungumzwa kama JOKES mnazifanya ni habari vile vitu vya msingi hamvitoi OBITER DICTUM mnazifanya RATIO DESIDEND na RATIO DESIDEND mnazifanya OBITER DICTUM. Hakuna jamii inayoongea mambo serious tu bila kuchanganya utani usioumiza ili kufanya jukwaa lichangamke sasa hii habari inatufundisha nini?
 
Hapa sometimes tunapoteza mda kama unataka elimu kuna JUKWAA LA ELIMU hope litakufaa zaidi, na terminologies zako zitakuwa mahala pake
 
Back
Top Bottom