Bungeni: Wana CCM acheni kupeana ujinga kwa hoja ya kuisimamia serikali

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,184
11,200
Nipo nafuatilia kwa makini kile kinaendelea bungeni na huenda kwa ukaribu sana kuliko mtu yeyote.
Kile nakiona na kile kinaendelea naweza kusema nisawa na CCM ni chama cha upinzani bungeni lakini alie jivika koti la kuisimamia serikali pasipo kujuwa serikali ni wao.

Hatukatai kuna mahali serikali inapaswa kujirekebisha ila pia sio vibaya wana CCM kwa ujumla wakakumbuka kwa sasa tuna rais mmoja wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ambaye anatokana na wana CCM wenyewe. Sio wakati wakutaka kutuaminisha kwamba kiongozi aliopo madarakani na baraza lake la mawaziri sio watu sahihi wanaopaswa kuliongoza taifa kwakuwa ikiwa mtasimama nakutuaminisha hivyo basi mkumbuke hata nyie wabunge sio watu sahihi kwa sasa ktk kuisimamia serikali.

Mmejivisha unafiki mkisahau kule taifa limetoka na wapi linaelekea. Naweza kusema kuwa mnaweza mkawa mnafanya kazi ya shetani either kwa kujuwa ama kutokujuwa na mkasahau kazi nzuri za ki Mungu mlipaswa kufanya bungeni.

Hoja zenu mnakosoa tena kwa uchungu as if kunamahali masilahi yenu yameguswa na wala sio masilahi mapana ya taifa. Manongea kwa uchungu nakutoka mapovu mithili ya nyoka alie ona adui mkasahau midomo yenu ina athari gani kwa jamii na serikali kwa ujumla.

Mtu anachambuwa vifungu vichache ktk mpango wa serikali wenye nakala kadhaa anasimamia kitu kimoja nakurudia vitu vya nyuma bila kuwa na solution kamwe hili haliwezi kisaidia. Maana mmesahau majukumu yenu basi msisahau pia kunakukumbushwa majukumu yenu.

Jambo lingine wana CCM kule kitaluni mnasahau nikukumbuka kile kiapo mbele ya taifa na kuanza kuwa na hoja zakutetea wafanya biashara mchezo wa kizamani ambao hakuna asiyeujuwa. Ndio aina ya hoja zilisumbuwa serikali ilio pita na siwashangai kile mwakifanya sasa. Hoja ya msingi ni mpango wataifa kama ilivyo ainishwa na wala sio kwenda kumkosoa mtu binafsi pale bungeni. Inaonekana Mh Mpango amekuwa mwiba wa moto ambao unawakera wabunge sio kwa sababu ya mipango yake ila kwa kuwa msimamizi wa mbele ktk kusimamia ajenda ya kubana matumizi. Niukweli usiofichika Mh Mpango akuchaguliwa kwa bahati mbaya ila ipo kazi alipaswa kuifanya na pale alipo anawakilisha kile anapaswa kufanya. Hivyo wan CCM kumshawishi Mh Rais kuwa mpango hafai nisawa nakujipulizia sumu kali machoni wenyewe na bila shaka mkisha maliza hamtokuwa hamuoni na hapo ndipo mtagunduwa some time hekima ni muhimu ktk maswala uakitaifa.

Wana CCM nilazima mkumbuke hata kama Mh Magufuli anaharibu nilazima mumsitiri maana anaharibu moja ila 99% anafanikisha shida ipo wapi. Jambo ambalo linawapoteza nikutosahahu mambo ya kule chamani nakuingiza mambo yachamani ktkshughuli za serikali. Mkifikiri mnamkomoa Magufuli kumbe mnatuumiza watanzania wote kwa ujinga wa wachache. Makofi mengi mnayo piga 2020 uwenda mtayapigia nyumbani na kiuhalisia chama hakiwezi kufa ila kusonga mbele pasipo wasaliti. Tunahoja ya msingi hapa mpangonwa taifa kuelekea uchumi wa viwanda hatuitaji misuto tunaitaji hoja.

Ni bora muwe kimya ama mtafute wasemaji kuliko kuwa chama tawala nyie na upinzani nyie. Nijambo la kushamgaza upo uwezekano kuna watuwanapewa madesa na upinzani kuilipuwa serikali yao jambo ambalo nasema niswala la muda tutaelewa nini kinafanyka.

Wana CCM nibora mkakumbuka kujeuka nyuma kutawaacha wengi jiwe la chumvi na huenda mengi yatabaki pale chimwaga Dodoma.
Kidumu chama cha mapinduzi.

MAGUFULI OYEEEE
 
Nipo nafuwatilia kwa makini kile kinaendelea bungeni na uwenda kwa ukaribu sana kuliko mtu awaye yeyote.
Kile nakiona na kile kinaendelea naweza kusema nisawa na ccm ni chama cha upinzani bungeni lakini alie jivika koti lakuisimamia serikali pasipo kujuwa seriali ni wao.

Hatukatai kuna mahali serikali inapaswa kujirekebisha ila pia sio vibaya wana ccm kwa ujumla wakakumbuka kwa sasa tuna rais mmoja wa jamuhuri ya muungano wa tanzania ambaye anatokana na wana ccm wenyewe. Sio wakati wakutaka kutuaminisha kwamba kiongozi aliopo madarakani na baraza lake la mawaziri sio watu sahihi wanao paswa kuliongoza taifa kwakuwa ikiwa mtasimama nakutuaminisha hivyo basi mkumbuke hata nyie wabunge sio watu sahihi kwa sasa ktk kuisimamia serikali.

Mmejivisha unafiki mkisahau kule taifa limetoka na wapi linaelekea. Naweza kusema kuwa mnaweza mkawa mnafanya kazi ya shetani either kwa kujuwa ama kutokujuwa na mkasahau kazi nzuri za ki Mungu mlipaswa kufanya bungeni.

Hoja zenu mnakosoa tena kwa uchungu as if kunamahali masilahi yenu yameguswa na wala sio masilahi mapana ya taifa. Manongea kwa uchungu nakutoka mapovu mithili ya nyoka alie ona adui mkasahau midomo yenu ina athari gani kwa jamii na serikali kwa ujumla.

Mtu anachambuwa vifungu vichache ktk mpango wa serikali wenye nakala kadhaa anasimamia kitukimoja nakurudia vitu vya nyuma bila kuwa na solution kamwe hili haliwezi kisaidia. Maana mmesahau majukumu yenu basi msisahau pia kunakukumbushwa majukumu yenu.

Jambo lingine wana ccm kule kitaluni manasahu nikukumbuka kile kipo mbele ya taifa na kuanza kuwa na hoja zakutetea wafanya biashara mchezo wakizamani ambao hakuna asio ujuwa. Ndio aina ya hoja zilisumbuwa serikali ilio pita na siwashangai kile mwakifanya sasa. Hoja ya msingi ni mpango wataifa kama ilivyo ainishwa na wala sio kwenda kumkosoa mtu binafsi pale bungeni. Inaonekana Mh Mpango amekuwa mwiba wa moto ambao unawakera wabunge sio kwa sababu ya mipango yake ila kwa kuwa msimamizi wa mbele ktk kusimamia ajenda yakubana matumizi. Niukweli usiofichika Mh Mpango akuchaguliwa kwa bahati mbaya ila ipo kazi alipaswa kuifanya na pale alipo anawakilisha kile anapaswa kufanya. Hivyo wan ccm kumshawishi Mh Rais kuwa mpango hafai nisawa nakujipulizia sumu kali machoni wenyewe na bila shaka mkisha maliza hamtokuwa hamuoni na hapo ndipo mtagunduwa some time hekima ni muhimu ktk maswala uakitaifa.

Wana ccm nilazima mkumbuke hata kama Mh Magufuli anaharibu nilazima mumsitiri maana anaharibu moja ila 99% anafanikisha shida ipo wapi. Jambo ambalo linawapoteza nikutosahahu mambo ya kule chamani nakuingiza mambo yachamani ktkshughuli za serikali. Mkifikiri mnamkomoa Magufuli kumbe mnatuumiza watanzania wote kwa ujinga wa wachache. Makofi mengi mnayo piga 2020 uwenda mtayapigia nyumbani na kiuhalisia chama hakiwezi kufa ila kusonga mbele pasipo wasaliti. Tunahoja ya msingi hapa mpangonwa taifa kuelekea uchumi wa viwanda hatuitaji misuto tunaitaji hoja.

Nibora muwe kimya ama mtafute wasemaji kuliko kuwa chama tawala nyie na upinzani nyie. Nijambo lakushamgaza upo uwezekano kuna watuwanapewa madesa na upinzani kuilipuwa serikali yao jambo ambalo nasema niswala la muda tutaelewa nini kinafanyka.

Wana ccm nibora mkakumbuka kujeuka nyuma kutawaacha wengi jiwe la chumvi na uwenda mengi yatabaki pale chimwaga dodoma.
Kidumu chama chamapinduzi.

MAGUFULI OYEEEE
Upuuzi tupu na Unapaswa Kupuuzwa na Upuuzi wako
 
Wewe anafanikisha kwa kubomoa TAIFA

Kimara bomoa NYUMBA ZOTE

Mwanza usibomwe walinichaguwa

Mbeya sina hela za kuimarisha TAZARA.. Mwanza na shinyanga inaenda standard gauge railway

Porini chato inajengwa airpot.........Rukwa na Ruvuma hakueleweki

Yeye hashauriwi na kupotea kwa wanaomkosoa sio ajabu

Ujinga usiudekeze kwa mhalifu wa Taifa letu
 
Mku ni kweli kabisa. Lakini kuna mambo inabidi uvae miwani ya mbao kwani kutetea ina kuwa ngumu kweli kweli kumbuka matendo na maneno hayafichiki sasa hapo utafanya nini mpaka kuupata usafi unaotakiwa
 
Kazi ya bunge ni kuisimamia serikali,na kuisimamia ni kuhakikisha serikali inafanya shughuli zake sawasawa asa unachotaka wewe sijui kipi
 
ala...kumbe thread umeianzisha ukiwa na lengo la kusema MAGUFULI OYEEEE
 
Mwehu wewe anafanikisha kwa kubomoa TAIFA

Kimara bomoa NYUMBA ZOTE

Mwanza usibomwe walinichaguwa

Mbeya sina hela za kuimarisha TAZARA.. Mwanza na shinyanga inaenda standard gauge railway

Porini chato inajengwa airpot.........Rukwa na Ruvuma hakueleweki

Yeye hashauriwi na kupotea kwa wanaomkosoa sio ajabu

Ujinga usiudekeze kwa mhalifu wa Taifa letu

PUNDA WEWE
Mjinga kweli isee bandari kuu kwenda pwani wakaicha mtwra ulikuwa ulaya......
 
Nipo nafuwatilia kwa makini kile kinaendelea bungeni na uwenda kwa ukaribu sana kuliko mtu awaye yeyote.
Kile nakiona na kile kinaendelea naweza kusema nisawa na ccm ni chama cha upinzani bungeni lakini alie jivika koti lakuisimamia serikali pasipo kujuwa seriali ni wao.

Hatukatai kuna mahali serikali inapaswa kujirekebisha ila pia sio vibaya wana ccm kwa ujumla wakakumbuka kwa sasa tuna rais mmoja wa jamuhuri ya muungano wa tanzania ambaye anatokana na wana ccm wenyewe. Sio wakati wakutaka kutuaminisha kwamba kiongozi aliopo madarakani na baraza lake la mawaziri sio watu sahihi wanao paswa kuliongoza taifa kwakuwa ikiwa mtasimama nakutuaminisha hivyo basi mkumbuke hata nyie wabunge sio watu sahihi kwa sasa ktk kuisimamia serikali.

Mmejivisha unafiki mkisahau kule taifa limetoka na wapi linaelekea. Naweza kusema kuwa mnaweza mkawa mnafanya kazi ya shetani either kwa kujuwa ama kutokujuwa na mkasahau kazi nzuri za ki Mungu mlipaswa kufanya bungeni.

Hoja zenu mnakosoa tena kwa uchungu as if kunamahali masilahi yenu yameguswa na wala sio masilahi mapana ya taifa. Manongea kwa uchungu nakutoka mapovu mithili ya nyoka alie ona adui mkasahau midomo yenu ina athari gani kwa jamii na serikali kwa ujumla.

Mtu anachambuwa vifungu vichache ktk mpango wa serikali wenye nakala kadhaa anasimamia kitukimoja nakurudia vitu vya nyuma bila kuwa na solution kamwe hili haliwezi kisaidia. Maana mmesahau majukumu yenu basi msisahau pia kunakukumbushwa majukumu yenu.

Jambo lingine wana ccm kule kitaluni manasahu nikukumbuka kile kipo mbele ya taifa na kuanza kuwa na hoja zakutetea wafanya biashara mchezo wakizamani ambao hakuna asio ujuwa. Ndio aina ya hoja zilisumbuwa serikali ilio pita na siwashangai kile mwakifanya sasa. Hoja ya msingi ni mpango wataifa kama ilivyo ainishwa na wala sio kwenda kumkosoa mtu binafsi pale bungeni. Inaonekana Mh Mpango amekuwa mwiba wa moto ambao unawakera wabunge sio kwa sababu ya mipango yake ila kwa kuwa msimamizi wa mbele ktk kusimamia ajenda yakubana matumizi. Niukweli usiofichika Mh Mpango akuchaguliwa kwa bahati mbaya ila ipo kazi alipaswa kuifanya na pale alipo anawakilisha kile anapaswa kufanya. Hivyo wan ccm kumshawishi Mh Rais kuwa mpango hafai nisawa nakujipulizia sumu kali machoni wenyewe na bila shaka mkisha maliza hamtokuwa hamuoni na hapo ndipo mtagunduwa some time hekima ni muhimu ktk maswala uakitaifa.

Wana ccm nilazima mkumbuke hata kama Mh Magufuli anaharibu nilazima mumsitiri maana anaharibu moja ila 99% anafanikisha shida ipo wapi. Jambo ambalo linawapoteza nikutosahahu mambo ya kule chamani nakuingiza mambo yachamani ktkshughuli za serikali. Mkifikiri mnamkomoa Magufuli kumbe mnatuumiza watanzania wote kwa ujinga wa wachache. Makofi mengi mnayo piga 2020 uwenda mtayapigia nyumbani na kiuhalisia chama hakiwezi kufa ila kusonga mbele pasipo wasaliti. Tunahoja ya msingi hapa mpangonwa taifa kuelekea uchumi wa viwanda hatuitaji misuto tunaitaji hoja.

Nibora muwe kimya ama mtafute wasemaji kuliko kuwa chama tawala nyie na upinzani nyie. Nijambo lakushamgaza upo uwezekano kuna watuwanapewa madesa na upinzani kuilipuwa serikali yao jambo ambalo nasema niswala la muda tutaelewa nini kinafanyka.

Wana ccm nibora mkakumbuka kujeuka nyuma kutawaacha wengi jiwe la chumvi na uwenda mengi yatabaki pale chimwaga dodoma.
Kidumu chama chamapinduzi.

MAGUFULI OYEEEE
Jitahidi kuandika vizuri, una makosa mengi mno ya kiuandishi.
 
Huyu anashabikia wabunge kuunga mkono kila jambo linaloletwa bungeni na serikila kisa wanatoka chama tawala!
Wewe ni mmoja ya wapumbav aliowataja JK wakati akiaga Kenya!
Ni shida mkuu. Yaani nimeshindwa kuamini kwamba tuna watu wa aina hii. Sijui serikali ikipakwa mafuta na hao anaowaita wabunge wa CCM yeye anapata faida gani!!?? Nadhani tatizo la watanzania wengi hawajui kazi ya bunge. Hata lingekua bunge la chama kimoja CCM, bunge kazi yake ni kuisimamia serikali na kuhakikisha inafanya yale ambayo ni kwa manufaa kwa wananchi siyo kutafuta mbeleko na kuibeba serikali eti kwa sababu ni ya "chama chetu"
 
Kumbe wewe, mjinga sana. Basi na wewe una maslahi yako. Umepoteza muda mwingi kulete ngonjera hapa, aliekutuma mwambie ndio kwanza kunakucha.
 
Nilidhani mtoa uzi ana la maana la kuongea kumbe pumba tu,kisa mmepanda gari1 na mpumbavu mmoja ndio dereva anaelekea kuwapoteza asikemewe?? Konda kakuzidishia nauli asihojjwe?? There is something wrong in ur mind!!!
 
Karudi shule mkuu.Umechanganya madaueleweki unatoka wapi na unarudi wapi,ELIMU,ELIMU,ELIMU.
 
Nilikuwa najitahidi kukuweka kwenye kundi maana kila kundi naona wewe umebobe kinoma au labda nikuache tu hapa kwenye kundi la mjinga alie bobea.
 
Back
Top Bottom