Imposibo_
JF-Expert Member
- Feb 1, 2016
- 2,746
- 2,121
Godless Lema:Baada ya kamati ya kanuni na uongozi wabunge kuifanyia kazi na kuondoa vipengele hotuba ya kambi ya upinzani mambo ya ndani kama mauwaji ya kisiasa. Nyumba za serikali, Mkataba wa Lugumi, uchaguzi wa Zanzibar sakata la NIDA na Wizi wa Rada.Tumeamua kuiondoa hotuba Yote.
BUNGENI: Upinzani wakataa kuwasilisha hotuba kuhusu Wizara ya Mambo ya Ndani baada ya M/kiti, M. Zungu kuwaelekeza kuondoa maneno yanayokukiuka Kanuni za Bunge.
Hapo asubuhi leo hii, bunge lililazimika kuahirishwa baada ya hotuba ya mambo ya ndani ya upinzani kuonekana ina maneno ambayo hayafai.