Bungeni Upinzani umepungukiwa idadi siyo ubora. Je, yawezekana waliohamia CCM ni makapi?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,599
141,416
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Jana nilifuatilia kwa karibu uwasilishaji wa ripoti ya PAC kuhusiana na ripoti za CAG na ile verification statement ya 1.5T.

Nilichojifunza ni kwamba wapinzani bado wana uwezo wa kujenga hoja pamoja na mihemko ya wabunge wachache wa CHADEMA like Mdee na yule wa Mbozi.

Wabunge wa CUF wanaonesha umakini na utulivu mkubwa kiasi cha kutoonekana kwa pengo la wabunge takribani 10 wa upinzani waliohamia chama tawala.

Ndipo sasa najiuliza CCM tuliuziwa mbuzi kwenye gunia? Mbona moto wa upinzani ni "kama" ule ule?

Ushauri:

Mbunge wa CCM kama huna hoja usisimame tu ili kuuza sura sometimes mnatuaibisha.

Fikiria anasimama mbunge wa chama tawala ambaye ni mjumbe wa PAC tena mwanamama halafu anashindwa kutofautisha kati ya adjustments na reallocations na kuishia kutia aibu. Next time Dkt. Tulia usiwape nafasi hawa wauza sura.

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
 
Huko ccm huwa ubora sio jambo la msingi, kwao wingi ndio jambo la msingi. Ccm huwa nawafananisha na mtu anayekula ugali mwingi sana na maharage, wapinzani nawafananisha na watu wanaokula chakula kidogo lakini chenye lishe bora. Ngoja waende haja kubwa kisha kaone hilo furushi la aliyekula ugali maharage hata mbwa haruki.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Jana nilifuatilia kwa karibu uwasilishaji wa ripoti ya PAC kuhusiana na ripoti za CAG na ile verification statement ya 1.5T.

Nilichojifunza ni kwamba wapinzani bado wana uwezo wa kujenga hoja pamoja na mihemko ya wabunge wachache wa CHADEMA like Mdee na yule wa Mbozi.

Wabunge wa CUF wanaonesha umakini na utulivu mkubwa kiasi cha kutoonekana kwa pengo la wabunge takribani 10 wa upinzani waliohamia chama tawala.

Ndipo sasa najiuliza CCM tuliuziwa mbuzi kwenye gunia? Mbona moto wa upinzani ni "kama" ule ule?

Ushauri:

Mbunge wa CCM kama huna hoja usisimame tu ili kuuza sura sometimes mnatuaibisha.

Fikiria anasimama mbunge wa chama tawala ambaye ni mjumbe wa PAC tena mwanamama halafu anashindwa kutofautisha kati ya adjustments na reallocations na kuishia kutia aibu. Next time Dkt. Tulia usiwape nafasi hawa wauza sura.

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Timu iliamua kuchukua wachezaji wake ilowatoa kwa mkopo chadema
 
Hakika wabunge wa CCM wanatia kinyaa ata kuwasikiliza
Pointless
Yanabwabwaja
Kujenga hoja hawajui
Wanafik kuliko shetan
Sijui wanahis wananchi hatuwaoni!?

Najiuliza hiv jiwe kumfunga MBOWE anahis amemaliza kila kitu!?
Alivotaka kumuua Lissu waliibuka wengine....
Ata Ben saa8 na Azory walivotoweka
Wameibuka mamiaaaaaa
Hata walipookotwa watu kwenye viroba haijawakatisha watu tamaaa
Unapoteza muda Magu time will tell

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge ni Dhaifu

Sasa Bunge lenye idadi kubwa ya MAccm wanapitisha mswada wa kupora mafao ya wanyonge.

Upinzani bungeni walitoa hoja kukataa uonevu kwa wafanyakazi, lakini WAccm wakapitisha kwa nguvu

Ester Bulaya kaibua tena hoja, mpaka Ndugai katoa pongezi za kinafiki..na Rais katoa agizo la kisiasa

Kwa nini Ndugai harudishi Muswada bungeni?

Vipi Kuhusu FAO LA KUJITOA?

-Bunge ni Dhaifu
 
johnthebaptist naona unataka kuonesha "upinzani" bado una nguvu lakini hapo hapo lengo lako la kuwananga wabunge wa CHADEMA limefanikiwa kwa kuonesha kwamba wana mihemko. Mnasema CHADEMA imekufa lakini kwenye kila andiko lenu lazima muweweseke na CHADEMA.

Kwamba mlinunua magalasa hiyo inajulikana.Kwa mfano kama lile garasa linalotaka watoto wasome bure kwenye shule ambazo serikali imezisajili kama biashara na inazitoza kodi. Unatozaje kodi kwenye biashara ya mtu unayetaka endeshe biashara yake kwa kutoa hisani?
 
johnthebaptist naona unataka kuonesha "upinzani" bado una nguvu lakini hapo hapo lengo lako la kuwananga wabunge wa CHADEMA limefanikiwa kwa kuonesha kwamba wana mihemko. Mnasema CHADEMA imekufa lakini kwenye kila andiko lenu lazima muweweseke na CHADEMA.

Kwamba mlinunua magalasa hiyo inajulikana.Kwa mfano kama lile garasa linalotaka watoto wasome bure kwenye shule ambazo serikali imezisajili kama biashara na inazitoza kodi. Unatozaje kodi kwenye biashara ya mtu anayetaka endeshe biashara yake kwa kutoa hisani?
Mkuu nimetumia neno " wachache "....... na kutoa mifano miwili tu labda kama wenyewe mnajijua mko wengi!
 
Ndipo sasa najiuliza CCM tuliuziwa mbuzi kwenye gunia? Mbona moto wa upinzani ni "kama" ule ule?
Ukitaka kupata jibu fanya hivi! Jaribu kuorodhesha wabunge wote waliotoka upinzani na kwenda CCM na fanya hivyo bila kufanya reference ya popote!! Wabunge vichwa wanajulikana tu na kama wote ni vichwa, basi utawataja mmoja baada ya mwingine!
 
Hata siwakumbuki kwa kweli zaidi ya huyu Mwita Waitara wa ukonga!
 
Back
Top Bottom