Bungeni: Shibuda aipasha CCM na Serikali yake!!

Amekumbuka 2015 haipo mbali.......bt am worried abt his early childhood....
 
Possibly,Shibuda anafanya maandalizi ya kurudi mjengoni ifikapo 2015, wasi wasi nilio nao juu yake, vipi atafaulu mtihani wa CHADEMA unao tarajiwa kufanyika 2015 ?[/QUOTE]

Ha ha haaa, hapa mkuu nimecheka sana, kweli saa ingine kuna mambo inabidi ucheke tu! Mtihani...duh! Itakuwa ya kwanza duniani!
 
si udhaifu bali ni matokeo ya maabara. Leo Shibuda kazinduka

Inaonekana wazi Shibuda ametumika na Chadema kushinda kiti cha ubunge peke yake. Kutokana na comments, sidhani kama wana Chadema wanamkubali sana, yeye na watu kama Zitto, kuanzia wiki iliyopita tegemea watu kama Prof Baregu kuingizwa kwenye list hiyo.
 
Aandae ngonjera za kuandika kwenye MTIHANI wa CHADEMA 2015, tutapeleka paper ikasomwe XXL clouz FM.
 
Shibuda amesema kuna mabaya ya serekali na mazuri ya serekali,mabaya upinzani na mazuri ya upinzani,hivyo serekali inapochokonyoa upinzani na ndivyo upinza huchokonyoa serekali,amepongeza jeshi la mkoa wa shimiyu akaenda mbali zaidi akiwataka CCM ikubali kukosolewa kwamba wakisema mfalme ana minyoo wasizani kuwa mfalme kafedheheshwa bali anakumbushwa juu ya afya yake,akamea jeshi a polisi kupendelea ma DC,na kutaka kuboresha demokrasia na utawala bora,mwisho ana makinda kamsifia kuwa leo kaongea lugha nzuri na kwa hekima.

Shibuda ni mchicha mwiba
 
ahahahhhhh, eti imalamakoye, nimecheka mie lol
mtu aniimbie ule wimbo wa kigeugeu,polisi vigeugeu, wanasiasa vigeugeu, shibuda nae nikigeugeu

Huku Imalamakoye ndimi zetu huwa nzito kidogo kuongea sasa yeye ni balaa kwenye kuongea kama mghani mashairi
 
Yawezekana alihama imalamakoye miaka mingi liyopita akaamua kwenda kuishi zake pemba kama sio mombasa

Huku Imalamakoye ndimi zetu huwa nzito kidogo kuongea sasa yeye ni balaa kwenye kuongea kama mghani mashairi
 
Back
Top Bottom