Bungeni: Ripoti ya Jairo yawasilishwa, wabunge wachachamaa!

jamaa anazidi kutaja majina ya walioohojiwa na kamati kuanzia mawaziri na wabunge na waheshimiwa waliopita ambao ni warioba, cleopa msuya n.k
 
Nina uhakika hii nayo ni FILAMU nyingine iliyojaza vichekesho na masiala mengine kwa umma! hakuna jipya hapa ngoja niende nikawachukulie wanangu kitimoto! KUmbe tuna senior citizens! Mimi niko kwenye kundi lipi sasa
 
David Kitundu Jairo, leo noma.
Waliohojiwa ni wengi sana, pinda, jairo, ngeleja, luhanjo, wabunge 16, mkulo, magufuli, wanazuoni, policy forum, msekwa warioba, salimu na wengine kibao.
 
waliohojiwa baadhi ni,mizengo pinda,katibu mkuu kiongozi,pius msekwa,ngereja,mkulo, ,magufuri, chemi,policy forum. jumla ya walio hojiwa ni 149
 
sidhani kama jairo atatoka kwa matokeo ya kamati hii, sema tu kikwete ndo atamkingia kifua tu kwa style ya richmond
 
Hapa hakuna lolote hapa! kuna kila dalili kuwa hili ni changa la macho tu!
 
Huu ni mchezo wa kuigiza inaenda inapanda weeeee unajua sasa hapa ndio mahali pake mara kila kitu kinadilika na kuanza upya!
 
Huyu msoma taarifa anavozungukazunguka hivi anaanda maandalizi ya kumsafisha Jairo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom