Uchaguzi 2020 Bungeni: Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu, Bunge zima(Wabunge 350) wampigia kura za ndiyo

Majaliwa kuteuliwa tena kuwa WM maana yake ni "mzigo nzito abebeshwe mnyamwezi". "Zigo" la korosho katwishwa Majaliwa kuitetea serikali kwa kutumia lugha ya "shangazi" zake.
 
Majaliwa hana uzuri wowote. Kunachomdaidia ni unafiki. Tendo lile la kumteka mpinzani wake ili asirudishe fomu ulikuwa ni uwendawazimu wa hali ya juu, na ulidhihirisha ni mtu wa namna gani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duu aisee. Sikuwa nalijua hilo maana hizi Siasa sitilii maanani sana. Basi nafuta sifa zote nilizompa hastahili. Sad
 
Kama mlijua ilikua imepangwa kuwa CCM itashinda uchaguzi, kwann hamkususia kufanya kampeini za uchaguzi? Na kwann mlijihusisha na upigaji wa kura na kubaki kwenye baadhi ya vituo vya kupigia kura mkilinda kura zenu zisiibiwe, ilihali mkijua tayari kuna mshindi ?

Kifupi, kulikuwa na haja gani ya nyie Chadema kujihusisha na harakati za uchaguzi wakati mlijua tayari CCM imepangwa kushinda??
Huu ushetani wa CCM ungejulikana vipi kama wasingeshiriki?
 
Kama mlijua ilikua imepangwa kuwa CCM itashinda uchaguzi, kwann hamkususia kufanya kampeini za uchaguzi? Na kwann mlijihusisha na upigaji wa kura na kubaki kwenye baadhi ya vituo vya kupigia kura mkilinda kura zenu zisiibiwe, ilihali mkijua tayari kuna mshindi ?

Kifupi, kulikuwa na haja gani ya nyie Chadema kujihusisha na harakati za uchaguzi wakati mlijua tayari CCM imepangwa kushinda??
Sorry bud. Mimi siyo Chadema. Get to know this. Hiyo ilijulikana tulisikia kwenye media kama walivyosikia wengine. Hivi mfano inawezekanaje mgombea akapata kura 179 na mpinzani wake kura 31 halafu anakuja mtu asuyejulikana anabandika matokeo anageuza 31 kuwa 370 na 179 kuwa kura 6?

Huko ndiyo kupangwa. Mimi ni mtanzania mzalendo na mpendwa haki niliyezaliwa miaka ya kuheshimika na Wizi i na ukandamizaji huwa siungi mkono.

Mtu yoyote mzalendo aliyebahatika kuzaliwa miaka hiyo na kushuhudia amani na upendo iliyokuwepo Tanzania ikiwa ya mfano dunia nzima hawezi kufurahia Tanzania ya sasa hata kidogo.
 
Ilikuwa hakuna namna ya Majaliwa kutoendelea kuwa PM

Panga pangua kubwa inakuja kwa mawaziri, kuna sura mpya zitakuja especially kwa zile wizara nyeti...
 
Back
Top Bottom