Uchaguzi 2020 Bungeni: Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu, Bunge zima(Wabunge 350) wampigia kura za ndiyo

Majaliwa anafaa sana, though hatamaliza miaka 5. Mark these words of mine.
Itafaa sana ikiwa hivyo ila itafaa zaidi kama badala yake atateuliwa na Mama Samia Suluhu huenda akaletwa mchapakazi mzuri siyo muunga mkono juhudi kama huyu. Aliyemteua huyu ni msema kweli Mungu atampenda zaidi kabla ya miaka 5!
 
Ilikuwa hakuna namna ya Majaliwa kutoendelea kuwa PM

Panga pangua kubwa inakuja kwa mawaziri, kuna sura mpya zitakuja especially kwa zile wizara nyeti...
Alinukuliwa akisema aliowateu awamu ya kwanza wasiwe na wasiwasi kama amemaliza nao salama hofu ya nini..? na wengine akidai wanamtumia hadi msg wakisema mheshimiwa usinisahau nimefanya kazi kwleikweli..!
 
Majaliwa anafaa sana, though hatamaliza miaka 5. Mark these words of mine.
Wewe hata vetting committee haupo sijui ramli ya wapi hii.?

Labda kama Jiwe lako atahisi kusalitiwa na Kasimu, aamue kumtaimu na kumtanguliza.! Maana utawala wa chama kimoja ni wa kutokuaminiana!
 
Hivi neno ‘komrade’ unaruhusiwa kutumia kwa huyu kweli? Anajiita ‘Jane Lowasa’!
Hapo kuna majina mawili...

Jane=Anaweza kuwa komredi
Lowassa=Anaweza kuwa komredi

Comrade ina maana ya friend,companion...hasa katika wale wanaoamini UJAMAA na hata UKOMUNISTI....

Katiba yetu inasema taifa hili ni la KIJAMAA(hadi hapo katiba itakavyosema vinginevyo).

CCM ni chama Cha Kijamaa(katiba yake inasema hivyo).

Kwa hiyo Mzee Laigwanan E. Lowassa ni mjamaa kwani ni mwanaCCM na ameihudumia serikali ya Kijamaa kwa miaka yote.

CCM ina Imani Kuu 3 :

1.Binadamu Wote Ni Sawa
2.Kila Mtu Anastahili Heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake(nimempa heshima Jane Lowassa kwa kumuita COMRADE).
3.Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia sahihi ya kujenga jamii huru na sawa.

Kudos Mkuu wangu.

Muuza Al Kasus
 
Mchakakato wa kumpata waziri mkuu ulikuwa mgumu Sana.tunashukuru tumemaliza salama.
Acha tushangilie
Screenshot_20201112-133537.jpg
 
Wakati unakuja nao umekwisha kufika kila ulimi utakiri amebarikiwa yule ajaye kwa jina la Bwana
 
Back
Top Bottom