Lazima utakuwa unacameruniwa.chadema kazi ipo,kumbe kuna undugulization kwenye viti vya ubunge vya chadema,FULL WABAGUZI.
Lazima utakuwa unacameruniwa.chadema kazi ipo,kumbe kuna undugulization kwenye viti vya ubunge vya chadema,FULL WABAGUZI.
Keshachezea visharubu vya wanaume wengi ndiyo maana anajua JK ndiyo mwanaume pekee mwenye sharubu......halafu watu wanakataa ushoga! CCm bana!Ovyo kabisa, inamaana huwa anachezea chezea hizo sharubu za jamaa!
CCM wanajadili muswada au wako kwenye kampeni ya uchaguzi?...Ila ile ya Wabunge wa Viti Maalum Chadema, mmh...
...Dada wa Tindu Lissu
...Mzazi Mwenza wa Dr.Slaa
...Mtoto wa Ndesamburo
...Mkwe wa Ndesamburo
...Ukigombea Uongozi wa juu unaambiwa Kiti kina wenyewe??
..Kwa haya kaifanya kazi ya ukada wa Chama chake vizuri sana japo jukwaa alilosemea halikuwa sahihi...
huyu jamaa badala ya kuongelea katiba ye anawatukana cdm.lusinde inaoneka lisu anakukosesha usingizi sana,pole sana roho inakuuma ccm inavyokufa hahahahahahahahaha
Hivi huyu bwabwaji elimu yake ipoje.!?
shetani alikuwa akigawa ukilaza kidogo kidogo killa kwa mwanadamu ILA ALIPOFIKA KWA LUSINDE kapu likamponyoka ukilaza wooooote uliobaki ukamwingia LUSINDE.
LUSINDE ni kilaza sjawai asiyeelezeka
anasema kwamba kuna wengine wameanzisha mitandao ya kuwatukana
cha ajabu ni kwamba viongozi wengi wa serikalini huwa wanaitwa na Masako kutokana na hoja inayojadiliwa lakini wengi wao huwa wanatoa visingizio mbalimbali ili kukacha kipindi cha kipima joto.......sasa hapa wa kulaumiwa ni Masako kweli?Huyu mbunge wa Mafia nae katoa pumba tu! Yaani kutokupata line kwake kila alipokuwa akipiga simu ITV basi ITV wamekuwa na upendeleo na kwamba wanapanga watu wa kuongea, nadhani huu ni uzushi usio kifani! Natamani ITV waombe uthibitisho kutoka kwake kama wamekuwa wana-upendeleo wowote ule kwa mtu au chama chochote kile, vinginevyo huyu ni wa kumshtaki kabisa mahakamani kwa kuharibu reputation nzuri ya kituo hicho! Anaisifia TBC1 kwamba imekuwa fair ktk mchakato huu kitu ambacho si kweli kabisa! Huwezi sema mchanganyiko wa CCM (A) na CCM (B)-CUF ati ni mchanganyiko wa upinzani na chama tawala. Huu nao ni upuuzi mtupu!
we subiri watageukiana wenyewe we subiri tuu hii ni laana na itawatafuna wote hayajijua tu!!Wanahangaika tu, walianza na chadema, Lissu, sasa ITV, sijui kesho itakuwa nini.