Bungeni: Mwigulu full mipasho, Wassira na wengine waendeleza (Nov 16)

eti chenge naye anaongea as if ni mtu mwema sn, anaiambia serikali asante sn kwa kuleta mswada mzuri,
 
Anampongeza Spika kwa kumfanya kua sehem ya wajumbe(Chenge),da fisadi anakua sehemu ya wajumbe
 
Mchwa akikaribia kifo huota mbawa - Mjengwa

Acha Chenge aseme sasa mara ya mwisho maana anaelekea kufukuzwa na magamba wenzie
 
ndugu zangu hawa ccm wasiwapotoshe waacheni waongee ila kwa hili sisi wananchi ndo wenye uamzi wa mwisho
 
kinachomsumbua CHENGE ANASEMA NI 'watu walewale, sehemu zilezile wanataka mambo yao yaaminiwe' dongo kwa wanaharakati wa jukwaa la katiba na LHRC
 
Noja nianze kukujibu wewe basi....upo kwenye ukombozi ndani ya JF? lol...hii kali!

Rejao unasumbuliwa na tatizo moja ambalo ndilo kubwa sana ''CAPTIVITY OF NEGATIVITY'' hili tatizo ndo mnalo wengi huko ccm ...
 
Hatari sana na tumeshaanza kugundua kuwa katiba inaenda kutengenezwa kwa mazingira ya kichama na sio kitaifa
 
kinachomsumbua CHENGE ANASEMA NI 'watu walewale, sehemu zilezile wanataka mambo yao yaaminiwe' dongo kwa wanaharakati wa jukwaa la katiba na LHRC

chenge ni sawa na chunvi isiyo na ladha...usimfikirie sana
 
Anasema katiba iliyopo iheshimiwe na anasema cdm wana nia ya kuchelewesha muswada
 
Back
Top Bottom