Bungeni: Musukuma amvaa Luhaga Mpina kwa kueneza uzushi wa Bwawa la Umeme la Nyerere

Shida yenu wabheja ni ushamba na ujinga.
1. Nani: Mwendazake
2. Mawaziri wote waliohudumu kwenye kwenye Wizara inayohisika na ujenzi
Akiwa uvuvi alitumia nguvu nyingi bila sababu kiasi cha kuisababishia serikali hasara mara nyingi tu.
Weka ushahidi, unapayuka payuka
Ukitaka kujua zipi njoo inbox nikueleze maana nyingine zinagusa mamlaka nyingine.
mie ndhungu mbheja sunken falaasi
Unaniuliza mimi mwendazake? hata kwenye kamusi hamna hilo neno, nikujibu vipi?
 
Kwahyo kama Mpina ndio ameibua hiyo hoja wengine hawawezi kuizungumzia hyo hoja? Tundu Lisu kama muakilishi wa wananchi alikuwa na haki ya kuielezea hyo hoja, na hata wananchi wa Kawaida pia wanawajibu wa kuibua hoja hii.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom