Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
mnyika anasema na bp imekataa kuuza mafuta wakati serikali inamiliki 50 percent
Mnyika: tumefika sbb ya serikali lege lege......anapendekeza kuwa rais anapaswa kuingilia kati kwa nafasi yake kama rais wa nchi
Kwa mara ya kwanza naona bunge limesimama likiwa moja kumtetea common mwananchi bila kujali khaki, kijani au rangi nyingine!
Bunge hili sina imani nalo, wanabwabwaja weeeeee mwisho wa siku wanarudi kwenye kijani.Kwa mara ya kwanza naona bunge limesimama likiwa moja kumtetea common mwananchi bila kujali khaki, kijani au rangi nyingine!
Kwani serikali imerudi toka likizo? Hukumuona mh rais jana anakula futari na viongozi wa dini huku anachekacheka tu. Nchi ndio imefikia hapo hakuna serikali, ingawa yenyewe inajifanya legelge.Vile vituo vilivyokubali kuuza muda huu unavigeuza kuwa vya 'dharura' wakati unasuka upya mambo.
Pamoja na hayo, kauli ya Rais au Waziri mkuu iko wapi? kwa nini hawajaongea mpaka sasa. Bunge limeguuka kuwa Ikulu? This is a tragedy of its own, and where is the cabinet in all these? Bunge ni kitu cha mbali sana maana wabunge are 'legislatures' - watunga sheria. Serikali ni watendaji, sasa, wako wapi hawa watendaji?