BUNGENI: MBUNGE WAKO AMECHANGIA HOJA MARA NGAPI?

Rawasha

Rawasha

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Messages
967
Points
1,000
Rawasha

Rawasha

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2014
967 1,000
Ninaliona tatizo kubwa la kimawasiliano kati ya mbunge jimboni na mbunge bungeni.
1. Hebu jiulize, mmbunge wako wmamewahi kufanya mikutano mingapi jimboni kusikiliza kero za wananchi? Na je aliziwakilisha kunakohusika na kuleta mrejesho?
2. Mmbunge wako amechangia hoja mara ngapi bungeni katika mijadala inayoendelea bungeni? Kama alichangia ulizionaje hoja zake. Ndondo au pumba?
3. Mmbunge amewahi uliza swali lolote bungeni linalohusiana na shida za jimboni kwenu au ni mambo ya kufikirika tu?
4. Je mara ngapi mmbunge wako ameshiriki shughuli za maendeleo jimboni kwenu na kuchangia?
5. Hivi unajua mfuko wa jimbo? Umefanya nini unachokijua jimboni kwenu?

Hebu tuhadili maana mimi huku kwangu majibu ya maswahi hayo sio mazuri kabisa na jamaa nasikia anajipanga kurudi uchaguzi ujao.
 
M

mkodowura

New Member
Joined
Aug 23, 2017
Messages
4
Points
45
M

mkodowura

New Member
Joined Aug 23, 2017
4 45
Nasubiria mh.atajwe apa na hoja zake
Ninaliona tatizo kubwa la kimawasiliano kati ya mbunge jimboni na mbunge bungeni.
1. Hebu jiulize, mmbunge wako wmamewahi kufanya mikutano mingapi jimboni kusikiliza kero za wananchi? Na je aliziwakilisha kunakohusika na kuleta mrejesho?
2. Mmbunge wako amechangia hoja mara ngapi bungeni katika mijadala inayoendelea bungeni? Kama alichangia ulizionaje hoja zake. Ndondo au pumba?
3. Mmbunge amewahi uliza swali lolote bungeni linalohusiana na shida za jimboni kwenu au ni mambo ya kufikirika tu?
4. Je mara ngapi mmbunge wako ameshiriki shughuli za maendeleo jimboni kwenu na kuchangia?
5. Hivi unajua mfuko wa jimbo? Umefanya nini unachokijua jimboni kwenu?

Hebu tuhadili maana mimi huku kwangu majibu ya maswahi hayo sio mazuri kabisa na jamaa nasikia anajipanga kurudi uchaguzi ujao.
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
12,461
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
12,461 2,000
sio kuchangia hoja tu,anaweza kuwa anachangia pumba kwako kwa faida zake kisiasa.

mfano mtu asiyetaja shida za maji,umeme,barabara,matibabu,elimu,mazingira safi ya utafutaji riziki,kisha anazungumzia mambo mengine kabisa,ana tofauti gani na aliye sinzia humo??
 
Forum statistics

Threads 1,316,463
Members 505,652
Posts 31,891,362
Top