Bungeni, mbunge akurupuka usingizini kutaka kuzuia mshahara wa waziri

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,140
14,678
Mbunge wa jimbo moja (sijalijua sawasawa) la mkoani Singida, Mohammed Misanga
amekurupuka kutaka kujadili mshahara wa waziri wakati kifungu hicho hakijafikiwa
na wenzake walikuwa wanachangia vifungu vingine, hali inayoonesha kuwa hakuwemo
bungeni (alikuwa kasinzia) hali iliyowashangaza wabunge wengine...
 
Ni kilaza sana huyu jamaa!ni wa singida magharibi!yaani hawa wana singida wana mbunge mmoja tu!Lissu!wengine ni ma **** wote
 
Mbunge wa jimbo moja (sijalijua sawasawa) la mkoani Singida, Mohammed Misanga
amekurupuka kutaka kujadili mshahara wa waziri wakati kifungu hicho hakijafikiwa
na wenzake walikuwa wanachangia vifungu vingine, hali inayoonesha kuwa hakuwemo
bungeni (alikuwa kasinzia) hali iliyowashangaza wabunge wengine...
Bishop usishangae hizo ndio zao wabunge wa Chama kijani. Kama kuna wabunge makini katika kambi yao hawazidi asilimia mbili (2%)
 
Wenzake hawawez kumzomea,angekuwa chama tofauti wangeomba miongozo ya kutosha! Wassira oyeeeee umeambukiza wenzako kulala hawajielewi! Haya ndo yale ya ndiooooooooooooooooooo!yanaunga mikono hoja toka usingizinia!!
 
Back
Top Bottom