Bungeni: Luhaga Mpina amtoa jasho Waziri wa Nishati kutokana na tatizo la kukatika umeme

Tuliambia watu wakitaka kuuza majenereta yao , ni kuongea na uongozi wa Tanesco , ili waachie maji, umeme ukatike,
Enzi za Magu majenereta yalikuwa kidogo, sasa hivi yamejazana kwenye maduka ya wahindi
 
Mpina ajitahidi kupindua meza ni nzito mono mayo. Hata wewe Wizara ya Mifugo ilikushinda watu hawakusema chochote pambana kumwondoa kipara.
 
1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli.

2. Igizo la Corona limeisha kama alivyotabiri Magufuli

3. Ndege tulizoambiwa na Zito Kabwe kwamba Magufuli amenunua mitumba mpaka leo zinapiga kazi vizuri sana

4. Tanzania haijashutakiwa MIGA kama alivyotabiri Tundu Lisu

5. Mpaka sasa hamna ufisadi wowote aliofanya Magufuli ulioibuliwa na waliomchukia

6. Baada ya waliotumbuliwa na Magufuli kurudishwa Serikalini ,utendaji wa serikali umezorota sana, hivyo kuwafanya wananchi wagundue kumbe Magufuli hakuwa anamuonea mtu.

7. Baada ya Magufuli kuondoka Tanzania imeporomoka uchumi wa
 
Na Umy Mwalimu wmbane kwanini mloganzila hospitali isirudishwe Muhimbili university collage of health and allied sciences.
 
Back
Top Bottom