Bungeni Live: Naibu spika akataa hoja ya Lissu kuzungumzia kuzama kwa meli

Ww kweli hujui kanuni za bunge, inapotolewa hoja na mbunge akimaliza wabunge wenzake wanatakiwa kusimama ndiko kunako one kana kuwa hoja imeungwa mkono na sio kwa spike kuhoji. Spika ana hoji hoja za kupitisha bajeti za wizara

Hiyo si justification! Kama suala lilikuwa ni wabunge wengine kuunga mkono hoja kwanini Ndugai hakumpa nafasi ili atoe hojayake? kwanini amekimbilia kuendelea na ratiba zingine? kama kweli serikali na Ndugai walikuwa na utashi wangetoa nafasi nyingine ili hoja hiyo iwasilishwe upya. Kwa kuwa hawakuwa na dhamira ya dhati ya kujadili jambo hilo ndio maana wamekauka. Hii ndio Tz bwana, ni zaidi ya ujuavyo! kama vile waliokufahawana haki ktk nchi hii, inasikitisha sana kuona jambo la dharura huu ndio wakati wake wa kujadili lkn linakataliwa. Kwao jambo la dharura ni lipi basi?
 
Yan lissu ni mjanja sana ana wachanganya hadi wana sema kwa vitendo hawataki muungano!

Big up-lissu:
 
Naibu spika na mwanasheria mkuu wanatumia hoja za nguvu badala ya nguvu za hoja. Mwanasheria mkuu wa serikali anapwaya sana. Anaingiza matusi ya kitoto kazini
 
Ukiona mwanamme anamtetea mwanamme mwenzake mpaka anatokwa na povu, hapo ujue kuna walakini . Ntamtetea mwanamke kwani ni jinsia .

Wewe na we jadili hoja! Ukiona mwanaume mzima anajadili hoja nyepesi na anakubali akili ndogo iongoze akili yake kubwa kuna walakini zaidi ya yule anayemtetea mwanaume mwenzie mwenye hoja...lol!
 
Mwendo mdundo mpaka kieleweke. Nabashiri sio mbali sana bunge kuvunjwa na kuitishwa uchaguzi kabla ya 2015
 
Jamani sio wote tuko kwenye TV. Mbona mleta mada hufunguki tukaelewa nini hasa kimetokea?
 
KAULI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI: 'Kuwa na nywele nyingi haimaanishi una uwezo wa kufikiri', sasa baada ya Lissu kuilaani kauli hiyo akiitafsiri kwamba ina lengo la kumdhalilisha yeye na wengine kwamba wana nywele lakini hawana uwezo wa kufikiri, akamwomba naibu spika amwamuru AG aute kauli yake...lakini Ndugai akasema hiyo ni kauli ya kawaida maana ni ukweli.
MY THINKING: Naona bunge linajitahidi sana kufata utaratibu na kuangalia maneno ya kuudhi kutoka kwa vyama pinzani tu, ila kauli hiyo hiyo ikitolewa na serikali inaonekana ni ya kawaida. Fikiria angeisema hiyo kauli Tundu Lisu kwa manasheria wa serikali!! Nadhani angekatishwa palepele na kuamriwa afute kauli mara moja!!
Nkuu ERASTO SYL nimegundua kuwa katika bunge hili la makinda kuna Waheshimiwa (CCM) na Wasio Waheshimiwa (WASHINDANI).
KAma si Hivyo basi Bunge linaongozwa na MAKINDA ya Ukweli sio jina tu!.
 
inamaana zanzibar sio sehemu ya jamuhuri sio mpaka wao wajadili ndio lijadiliwe katika muungano? Ndio maana nikasikia kuwa wenzetu wa zanzibar wamepatwa na maafa sio tanzania mnawatenga ndio maana na wao wanataka kutengana na sisi kwani tumesha watenga mpaka hapo haya yanayoonekana tu yanadhiiridha wao ni wao na sisi ni sisi mbaya hiyooooooooo
 
Nimeamini kweli watu wanachaguliwa kishikaji, kama mwanasheria mkuu anashindwa kujua maana ya kuomba idhini, badala yake anatukana, 'kichwa si kwa ajiri ya kufugia nywele" kweli busara imekuwa ndogo. Kama ni kuchumia tumbo na taaluma nyuma, hadi hiki kizazi kitoke chote. Kama hoja imekosewa kuwakilishwa na ni hoja muhimu ktk nchi, kwanini naibu spika usimrekebishe mtoaji hoja na kuhoji bunge? Hekima na busara ni bora kuliko sheria na kanuni. Ndio maana mtu anamiliki hekta kibao na azifanyii kitu , lakini kwa sababu ana hati atakiwi kuguswa. Bora sikusomea sheria, kwenye ufundi ni logics tu.
 
Ni kweli alichosema mwanasheria mkuu wa serikali, Lissu ana nywele ila akili aweza kuna hana, hilo ni tusi kwani ? mbona vichaa wana nywele ila akili hawana ? acheni kujitafutia umaarufu kwa kupitia misiba

we unataka kusema kwamba Bungeni kuna vichaa????, jaribu kuwa unafikilia, na kama una-support upuuzi huo nina wasiwasi na kiwango chako cha elimu yako
 
Baraza la wawakilishi lenyewe halijajadili hoja ya ajali, nyie bunge la muungano ndio mnajifanya mnajua sana kuliko wale wenye msiba wenyewe

Kwa taarifa yako Baraza la Wawakilishi hata kukaa halijakaa, kila kitu kimesimama! Unatumia nini kufikiri?
 
Yan wamejichimbia kabuli kwani wazanzibari wameona jinsi huu muungano ulivyo wa kinafiki:
 
Kama hawana taarifa, kwa yale aliyoyafanya bi kiroboto sasa yamemrudi na nasikia anaumwa, sasa kna hako ka-ndugai nako kanarudia yale yale. mabwepande wamekwisha
 
Baadae tuseme tuna Muungano!.
Najua hii ajali ingelikuwa imetokea upande wa bara wabunge wangekuwa kwenye eneo la tukio.
 
Back
Top Bottom