Bungeni Live: Marekebisho ya Katiba: Malumbano Yamemalizika!

Ole wao CCM wa influence Katiba iwapendelee wao as a ruling party, then waje washindwe 2015 na Chadema ndio wawe ruling party. CCM watalia na kusaga meno!
If they are smart, new katiba iwe as neutral and beneficial kwa nchi na si ruling party.


Ukweli ni kuwa ningependa sana CCM kiwe chama cha upinzani kwa katiba hii ya sasa kwa mwaka mmoja tu halafu ibadilishwe. Itawasaidia sana kujua kwa nini wenzao wa upande wa pili wana akili zaidi na hoja zenye mashiko zaidi kuliko wao. Bahati mbaya ni CCM haiwezi kamwe kuondoka madarakani kwa Katiba hii, mfumo huu wa kisheria uliopo na ukiongezea ujinga na umaskini wetu watanzania .
 
Hawa watu ma-DC kwenye katiba mpya hatutaki wawepo kabisa. Sheria kuruhusu ma-DC kutumiwa na tume kukusanya maoni, kweli watatenda haki wakati sisi tunataka kuwatemesha post yao. Tangu lini Kinyozi akajinyoa?!

Ma-DC kuruhusiwa kutumiwa na tume it is controversial kwasababu watafanya juu chini maoni ya kuondoa cheo chao yasiingie kwenye tume hata kwa vitisho.
 
Mkwe21, kama ulifikiri Zanzibar ni mkoa au wilaya, you are wrong!. Muungano wetu ni muungano wa nchi mbili zenye hadhi sawa, equal status regarless of size and population. Kama ni ndoa, ni ndoa ya kiserekali ambao wana ndoa wote wanahaki sawa, japo mmoja kaoa na kulipia mahari, huku mwingine ni kula kulala, ndoa ikivunjika mnagawa mali sawa!. Ingekuwa ni ndoa ya kimila, aliyelipa mahari ndie aliyeoa na ndiye mwenye mali akipata lions share, kwenye muungano we are equal partners, kila kitu cha muungano ni pasu pasu!.

Nashukuru Kwa Maelezo Mazuri Ila roho Inauma!! Naomba Watanganyika Wenzangu Hili Liwe ni ajenda Mahususi Kwenye Kuboresha Katiba!! Bado Hatujachelewa sana!!
 
Final Update.
Muswada umepita!.
Kesho muswada huo unaletwa rasmi DSM na kulazwa ofisi ya bunge DSM. Jumatatu asubuhi, Katibu wa Bunge, Dr. Thomas Kashilila atabisha hodi Ikulu, na kuukabidhi rasmi.
JK atausani fasta fasta hata Jumatatu hiyo hiyo ili tangu J.4 uwe sheria.
Barua za mialiko kwa wadau kupendekeza majina ya wajumbe zitatolewa.
JK atateua wajumbe 14 kutoka bara na 14 kutoka Zanzibar pia atamteau M/Kiti na Katibu, jumla watakuwa 32.
Wataapishwa Ikulu.
Tarehe 01/03/2012 Tume ya Kukusanya Maoni Itaanza Kazi!.

Asanteni na Kwaherini.

Pasco.

Pasco hii time table ni mawazo yako au imetoka bungeni?
 
kwa mara nyingine tumeona ushabiki wa CCM ukiongozwa na Anna. Hii ni clear cut kwamba hawa wanadamu hawana nia nyema na nchi hii. Hawajali kizazi hiki wala kijacho, wanachoangalia ni maslai yao kupitia chama. Maslai yao na familia zao kupitia chama. Baada ya mwenyekiti wao kukubali baada ya wao kwanza kuutengeneza na kuupitisha kwa nguvu na lugha chafu mbele ya wananchi bungeni naamini na ninashawishika kuamini sio maslai ya chama yaliokuwa yakitetewa na Kilango. Tuwe makini na watu wa namna yake. Tumuogope yeye na familia yake na wote walio karibu naye kama ukoma.
 
Nitaendelea kukaa kimya hadi atakapojitokeza mtu humu kueleza maana na kirefu cha DC na DED kwa kiswahili
 
Napataga wasiwasi sana na uelewa wako, thread iko wazi kuwa wote sasa wamejumuishwa, hujaelewa nn sasa ?
Hivi wewe uelewa wa PJ na uelewa wako unaweza kujilinganisha hata robo......ieleweke thread imeeleweka baada ya pasco ku-edit
 
Back
Top Bottom