Bungeni: Kwanini Wabunge 'hawakutaka kumsikiliza' Waziri Ummy Mwalimu kuhusu zoezi la RC Makonda?

Majizi ya billion 7 (ufipa ) huwa yanasikiliza upotoshaji tu ,hayawezi kusikiliza waziri Ummy.
Embu tusaidie Mkuu ile tirlion 1.5 iko wapi lakin mie mnipe hata laki tu maana najua haijaisha
 
Mimi bila kupepesa macho nasema makonda hajui kitu, kabla ya zoezi alitakiwa kuijua sheria ya mtoto na haki ya faragha........…

Pia angeshirikiana na waziri husika. Wabunge hawakutaka kumsikiliza ummy, kwa sababu yeye (ummy) alikuwa wapi mpaka leo aseme kuna maboresho (yani anakiri kuna mapungufu)

Hivyo wabunge walimuona ummy ni kama makonda hivyo alishajiondelea credibility ya kusikilizwa.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Majizi ya billion 7 (ufipa ) huwa yanasikiliza upotoshaji tu ,hayawezi kusikiliza waziri Ummy.
Huna mifupa ya aibu wew.Na jizi kubwa la 1.5trln mbona halisikiliz shida wananchi.Afadhali matumizi ya yanaonekana japo hayajakawa sawa.Jizi la 1.5trln limekwapua na kuzichimbia chattle hvyo hazijulikani zilipo.Kwakua watanzania ni mandondocha tutatengenezewa matukio ya kutusahaulisha
 
Huyu waziri wa afya haaminiki kwa umma sijui kwanini. Watu wanamchukulia kama 'waziri wa mtu' badala ya waziri wa serikali. Kuna nini nyuma ya pazia? Kuna walakin upstairs?
Can you imagine mpk deni la matibabu nje anataka lifanyiwe medical examination.Tangu lini deni linafanyiwa medical examination?Hapa ndo utajua huyu ni mhamiaji kwenye afya
 
Wabunge wengi wanamchukia Makonda.
Hata CAG naye anamchukia?
Maana Mkowa wa Makonda kwenye ripoti ya CAG unaonekana kupokea fedha za maafa zaidi ya mill 66x2 kinyume cha utaratibu na hadi sasa hawatak kuzirudisha pamoja na kusisitizwa na CAG wazirudishe.
Kimahesabu walipaswa kupata mil 66 tu,ila wao wamepokea mil 132.Na bado CAG amebainisha kuwa wanatakiwa kurudisha mil 139 fedha za Maafa ya Gongo La Mboto.
Ukweli usemwe,Makonda alikosea kampeni yake kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto ya 2009.
Ukienda mahakama ya Kisutu,mahakama ya watoto "Juvenile Court" inaendeshwa kwa faragha sasa why pale kwa Makonda wasingeendesha kwa faragha kwa mujibu wa sheria?
 
Can you imagine mpk deni la matibabu nje anataka lifanyiwe medical examination.Tangu lini deni linafanyiwa medical examination?Hapa ndo utajua huyu ni mhamiaji kwenye afya
Mimi kabla hajaanza kuongea naonaga ataongea vague! Na kweli lazima aongee offrecord!......ila kwa kupepesa macho namkubali sana...hahahahaa! Debt medical examination...hahahahaa, hata ile know ya general biology hana nadhani.
 
VP Ummy anamtoto au watoto. Maana mume anaye anavyodai walikutana masomoni nchi za Africa Magharibi
 
Mimi kabla hajaanza kuongea naonaga ataongea vague! Na kweli lazima aongee offrecord!......ila kwa kupepesa macho namkubali sana...hahahahaa! Debt medical examination...hahahahaa, hata ile know ya general biology hana nadhani.
Mvuto kwanza sifa baadae mkuu
 
Back
Top Bottom