We Know Next
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 814
- 380
Hivi Sheria inasemaje, ikiwa kama wabunge wakitaka kumvote out Speaker? Nadhani kuna kanuni zinazo wapa uwezo wa kufanya hivyo.
Jamani kwanini Bunge lisimame wakati kamati yake ya huduma za jamii inalishughulikia suala hilo? Kwanini wabunge wasiwe na subra kusubiri majibu ya kamati?
Labda tujiulize wanataka kujadili nini kuhusu kadhia hiyo? au wanataka wavute muda na kuongeza posho.
Tafadhali wa Tz mnatakiwa kujua muda ni mali sana.
Nawapa pole wale wanaoshabikia issue hii ya mgomo.
We acha tu...sisi watanzania ni wapole sana...hawa viongozi tungeweza hata sisi wenyewe kuwasulubu wapate ili akili.Kuna kitabu nilishawahi kukisoma najaribu kurelate na hali ya kwetu sasa kinaitwa HE CAME TO SET THE CAPTIVES FREE by Rebecca Brown. Huyu dada alikuwa anafanya Hospital moja marekani, kuna wagonjwa emergency walikuwa wakiletwa hapo Hospital lakini hakuna aliekuwa anawajali, akiuliza mbona huyu mtu analetwa halafu mnamuangalia tu wote wanatoka eneo hilo. Kumbe hawa Freemansoon ndio zilikuwa nyakati zao za kutoa kafara. Hii ni sawa na hapa kwetu ama viongozi wenyewe ndio ma freemansoon ndo wanatoa kafara zao kuimarisha ngome ama mafreemansoon wamewambia wafanye hivyo. Bila kanisa kusimama hapa kwa maombi hili tatizo litaisha mpaka wawe wametosheka kwa Kafara zao.
Very Terrible. Inakuwaje mkuu wa kaya amekaa kimya, aua anasubiri wawe wanakufa anaenda msibani. HIvi kwa nini, hili tatizo ni kubwa sana linahusu nchi wala Hajigusi, kwa nini??? Hivi sherehe za CCM Mwanza zilikuwa muhimu kuliko hili la sasa la Madoc.... Inauma sana. Ana siku chache sana pale magogoni. Kama wagonjwa wanataka waandamane kwenda kufia Ikulu, sijui anataka nini huyu bwana!!!!
Wewe unataka subira ya nini wakati watu wanakufa?
Hongera Spika.
Soni mantiki ya mwongozo huo. Kwani tayari kamati ya Bunge ya huduma za jamii inalishughulikia suala hilo. Sasa sijui wabunge hao hawaiamini kamati hiyo? au wanataka kuvuta muda zaidi ili kupata fedha za sitting allowance na per
diem
Ungeambiwa chagua kiongozi gani afe sasa hivi ungemchagua nani?
fukuzeni hawa viongozi wenu.....
Hakuna haja ya kuendelea kusubiri taarifa ya kamati kama inachelewa, na huku watu wengi wakiendelea kupoteza maisha.... La msingi ni kuangalia namna ya kutatua hilo tatizo kwa dharula wakati wakisubiri taarifa maalumu ya kamati. Hata hivyo kuna mambo yasiyohitaji kusubiri kamati kama suala la kujiuzuru Waziri, Naibu waziri, katibu mkuu na mganga mkuu wa serikali kupigwa chini. hayo yangeweza kufanyika sasa hivi, maana kila kitu kipo wazi namna walivyochangia kwa kiac kikubwa kuufikisha huo mgomo hapo ulipo.
amewezeshwaa kaweza teh teh (siunajua kale kamsemo ka ukimuwezesha mmoja umeliwezesha taifa ndio anatumia kanafasi adimu alichokapata kuicontrol minjemba mjengoni teh teh) ila daah . this is more than retardation sijui tuiitaje hii . lakini hii accumalation ya mambo sijui kama ina mwisho mwemaMkuu Pasco.
Umesahau zamu ya Wanawake lazima tuwavumilie bila kujali uwezo wake.
[QUOTE]TO HELL CCM AND YOUR GOVERNMENT [/QUOTE]
nani ameomba mwongozo?
nani aliwaambia swala la afya ni kipao mbele cha serikali?
Ungeambiwa chagua kiongozi gani afe sasa hivi ungemchagua nani?
yeye makinda aliwekwa na watu hapo na anategemea akili za hao hao waliomuweka ambao mpaka sasa wameshindwa tayari kutatua hilo tatizo. Hili ni suala nyeti na la dharula na asifikiri ni ujinga uliozoeleka, watu wanakufa.Hakuna haja ya kuendelea kusubiri taarifa ya kamati kama inachelewa, na huku watu wengi wakiendelea kupoteza maisha.... La msingi ni kuangalia namna ya kutatua hilo tatizo kwa dharula wakati wakisubiri taarifa maalumu ya kamati. Hata hivyo kuna mambo yasiyohitaji kusubiri kamati kama suala la kujiuzuru Waziri, Naibu waziri, katibu mkuu na mganga mkuu wa serikali kupigwa chini. hayo yangeweza kufanyika sasa hivi, maana kila kitu kipo wazi namna walivyochangia kwa kiac kikubwa kuufikisha huo mgomo hapo ulipo.
Kuna kitabu nilishawahi kukisoma najaribu kurelate na hali ya kwetu sasa kinaitwa HE CAME TO SET THE CAPTIVES FREE by Rebecca Brown. Huyu dada alikuwa anafanya Hospital moja marekani, kuna wagonjwa emergency walikuwa wakiletwa hapo Hospital lakini hakuna aliekuwa anawajali, akiuliza mbona huyu mtu analetwa halafu mnamuangalia tu wote wanatoka eneo hilo. Kumbe hawa Freemansoon ndio zilikuwa nyakati zao za kutoa kafara. Hii ni sawa na hapa kwetu ama viongozi wenyewe ndio ma freemansoon ndo wanatoa kafara zao kuimarisha ngome ama mafreemansoon wamewambia wafanye hivyo. Bila kanisa kusimama hapa kwa maombi hili tatizo litaisha mpaka wawe wametosheka kwa Kafara zao.
Very Terrible. Inakuwaje mkuu wa kaya amekaa kimya, aua anasubiri wawe wanakufa anaenda msibani. HIvi kwa nini, hili tatizo ni kubwa sana linahusu nchi wala Hajigusi, kwa nini??? Hivi sherehe za CCM Mwanza zilikuwa muhimu kuliko hili la sasa la Madoc.... Inauma sana. Ana siku chache sana pale magogoni. Kama wagonjwa wanataka waandamane kwenda kufia Ikulu, sijui anataka nini huyu bwana!!!!
Hata kama waliiba kura tulikuwa na uwezo wa kuwazuia kuingia Ikulu...Kumbe mliwaruhusu mie nilidhani waliiba kura.
Makinda hajaruhu mpaka kamati yake irudi na majibu....naona anatumia ubabe zaidi badala ya busara