Bungeni kumewaka moto-mgomo wa madaktari

Imefikia sasa tamko litolewe
hali inatisha na kusikitisha ,Zile huduma za Emergency zilizokuwa zikitolewa hazipo tena
Madaktari wa Jeshi nao wanadai hakuna Vifaa,Hivyo vifaa vilivyokuwa vikitumiwa na madaktari wengine vimeenda wapi?
OOh me ,Nimeangalia habari TBC kwa huzuni sana ,ni lazima ufumbuzi wa hili utafutwe haraka iwezekanavyo.

Sio wote tuna uwezo wa kutibiwa katika Hospital Binafsi
 
huyu mama supika kweli ni undava undava kudadadadadadadadaaaaaaaaaaadeki... mtamkumbuka mzee 6
 
Makinda hajaruhu mpaka kamati yake irudi na majibu....naona anatumia ubabe zaidi badala ya busara

Watu tulisema tangu mwanzo wa kuchaguliwa Ana Mikanda kuwa Spika wa MBU+NGE kule Bungeni kuwa Mwanamke na hasa wa wa aina yake hawezi kulimudu Bunge la sasa la Tanzania kwa vile lina changa moto kali kila kunapokucha. Mzee SS peke yake ndiyo alikuwa anaweza kuhimili mikiki ya Bunge hilo lakini walimtoa kwa TKO! Sasa wanajuta.

I believe kama SS angelikuwa pale kwenye Kiti basi hili swala la Mgomo wa Madaktari lingekuwa limekwishne.
 
You can talk and talk and talk.... but always remember, when there is an emergency, protocols dont apply!! so keep on sticking to protocols and procedures while even ambulances do cross the red lights on steets

waswahili wanasema kuchamba kwingi kutoka na mavi, unataka tufuate utaratibu wakati tatizo lililopo halitaki utaratibu linahita immediate action, this is how i would have done it
stop kamati ya bunge

  1. call minister na PM wake
  2. order immediate resposnse/meeting/action
  3. if need be fire one/two kwani hata leo hii Mama Nyoni akiondolewa kazi imekwisha, Drs. watarudi kazini, mgomo wote chanzo chake ni dharau na wala si pesa kama mnavyotaka watu waamini
Umezungumzia duty seggregation, well in emergency hiyo mode nayo sometimes huwa inakufa

Ok
Sipingani na wewe kuwa jambo hili linahitaji immediately action, lakini ni nani wa kuchukua hizo hatua?

Kwenye red nashukuru kuwa umetambua kinachotakiwa kufanyika na si hoja ya dharura, na mwenye uwezo wa kufanya hayo kwenye red ni Jk na serikali yake wala si Spika na hoja ya dharura.

Tunapodhania spika na hoja ya dharura ndio watamaliza mgomo wa Drs wakati tunajua bunge halina meno ya maamuzi yake kwani mwisho wa siku itayaleta serikalini kwa Jk kama maazimio/mapendekezo kwa utekelezaji, nadhani huku ndio kutakuwa kuchamba kwingi

Mapendekezo yako ndio solution rahisi na ya haraka lakini yanatakiwa yafanywe na serikali yenyewe na si hoja ya dharura bungeni
 
Spika angeweza kusema kwamba Hali ni mbaya na bunge haliwezi kuendelea kukaa and talk of blah blah while people are dying, call of Kamati, return an order to government through PM and suspend bunge

If 80 people died in Egypt and there was extra ordinary parliament, I don't see why 1000 people die and things go haywey like this
 
Bunge litajadili nini kabla ya kupata taarifa rasmi za kamati unayochunguza hili jambo? nawashangaa sana wanaobeza.

Ndugu yangu ni nini wasichokijua , wanatengeneza posho tu hao hawana laamana wanalofanya. Matatizo hayo sio ya jana wala ya leo.
 
Kama tulivyokuwa tunajaribu kuainisha kuwa mgomo wa madaktari si jukumu la bunge bali serikali kulimaliza kwa kukaa mea moja na madaktari hatimaye limetimia
Matusi yote na kejeli kwa spika ni kielelzo cha kuwa tunakurupuka kutoa hukumu bila tadhimini, akili zimekomea kudhani hoja ya dharura ndio suluhu bila kutafakari serikali pekee ndio yenye uwezo wa kumaliza sakata hili kama ilvyofanya
Ni kielelezo kuwa watu wanaamini katika siasa hata kwenye mambo ya kitaalamu na yasio hitaji siasa
 
Back
Top Bottom