Elections 2010 Bungeni Kumekucha CHADEMA

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Baada ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwachemsha Wagombea uwakilishi wa SADC kwa maswali ya kitoto na woote kushindwa kutoa majibu,, Kwa mujibu wa Wanajamii wengi wanasema Kama Mmoja anashindwa kujua hata Kirefu cha neno SADC anagombea nini sasa,,,

Mwingine anagombea kitu hajui hata kilianza mwaka gani jamani Hawa wabunge wa CCM vipi? mbona wanahaibika kiumee?
Wanashindwa kusema hata this wanasema zis hahahahahahahahah hapo ndo hoooi

Sasa Mnyika na Lisu walianza juzi na jana, Mbowe na Kabwe wanawavutia kasi wakati Mtoto Mdee akishusha pumzi,, Lussu ambaye iliwahi kusikika Kikwete akisema kwa mdomo wake kuwa "" NI HERI SLAA AWE RAISI KULIKO LISSU KUWA MMBUNGE""
kwa kauli hii inaonesha Hata wanaCCM wanajua jasho lazima litaatoka Safali hii,,

Nakupa sana Big up Li suu,, fanya kazi tulio kutuma kaka

Peeeeeeeooooopleeeee.........................
 
Wana JF,

Penye Ukweli inakubidi useme ukweli na kama JK mwenyewe alikili hilo basi alikuwa wazi kwa hilo na wana CCM wanamjua huyo bwana ni mwiba wa kuotea mbali namkubali ni kichwa yule hao ni wabunge wachache sana wa CHADEMA na watalitoa jasho baraza la mawaziri lijalo na sidhani kama mawaziri watakuja na ile style yao ya kutusomea tu makablasha yao na imepitishwa kwa kauli moja itakuwepo tena waziri itabidi aisome presantation yake zaidi ya mara 3 kabla ya kuianika wazi bungeni na kwa wananchi hakuto kuwa na mzaaa, Na Anna Makinda itabidi serikali imsaidie kumwekea mwalimu wa sheria anae ijua katiba na mambo mengine ya bunge, Jamani kumbukeni Sitta ni kichwa yule alimsumbua sana Nyerere wakati alipo kuwa Chuo UDS
 
The unity of too many, the worse. the worse of too many is our sufferings! Who cares???
 
Kama Tundu anafahamu vyema kuhusu Sadc,kwanini hakugombea yeye?

Hawakugombea kwasababu walijua uchaguzi siyo huru na haki. Hata kama wao watakuwa na sifa za kuwakilisha bunge, CCM hawatawapigia kura. Wewe hukuona kuwa Dr. Slaa alipigiwa kura na Watanzania lakini Kikwete ndiye mshindi? Pale bungeni watu hawapigiwi kura kwa sababu wanafaa bali kwa sababu wanatoka Chama fulani. Kumbuka Mabere Marando alikuwa anafaa kuwa spika lakini aliyechaguliwa kuwa spika ni Makinda kwa sababu ya UCCM. Umeona mwenyewe sasa hvi bunge linavyoenda kama gari bovu chini ya Mama huyo? Unachopendekeza kinajulikana kuwa hakiwezi kuwa na maana kwani haki haiwezi kutendeka.
 
Baada ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwachemsha Wagombea uwakilishi wa SADC kwa maswali ya kitoto na woote kushindwa kutoa majibu,, Kwa mujibu wa Wanajamii wengi wanasema Kama Mmoja anashindwa kujua hata Kirefu cha neno SADC anagombea nini sasa,,,

Mwingine anagombea kitu hajui hata kilianza mwaka gani jamani Hawa wabunge wa CCM vipi? mbona wanahaibika kiumee?
Wanashindwa kusema hata this wanasema zis hahahahahahahahah hapo ndo hoooi

Sasa Mnyika na Lisu walianza juzi na jana, Mbowe na Kabwe wanawavutia kasi wakati Mtoto Mdee akishusha pumzi,, Lussu ambaye iliwahi kusikika Kikwete akisema kwa mdomo wake kuwa "" NI HERI SLAA AWE RAISI KULIKO LISSU KUWA MMBUNGE""
kwa kauli hii inaonesha Hata wanaCCM wanajua jasho lazima litaatoka Safali hii,,

Nakupa sana Big up Li suu,, fanya kazi tulio kutuma kaka

Peeeeeeeooooopleeeee.........................

Silver,

Kuna watu wanasema TUNDU lisu ni tundu kubwa, wengi watazama kupitia kwalo. Halafu watu anasema, kuwepo kwa Tundu, ni sawa na kuwa Slaa yumo Bungeni. Tofauti ni kuwa Slaa mpole, Tundu anawaka!

Mhhhhh, i like the Bunge disi taimu.
 
The unity of too many, the worse. the worse of too many is our sufferings! Who cares???

God cares. Nakuhakikishia umoja ktk dhambi ni kaburi. Umoja katika haki ni UHURU. Kama watu watapingwa kwasababu ni chama fulani bila kujali wanawakilisha watu wenye chama na wasiona chama, ni dhambi. Kama ndivyo, Anguko la watendao hayo litakuwa ni gharika ya karne....

Katika haki, no negotiation. Naamini wapo wana CCM waipendao nchi yao bado wanavuta pumzi, kama mzee 6 na Dr. wa Kyela
 
Kwa uchambuzi wa wa harakaharaka naweza kusema wabunge wa ccm 82% hawajui hata kilichowapeleka bungeni. 18% wamefata ufisadi wa mali za watanzania. Nadhani ccm ni kapu la mabumbumbu ambao elimu wanayoijua ni kupiga makofi. sasa sheria hutungwa kwa kiingereza, hawa jamaa watajua kilichoko ndani au watashangilia hata kama sheria yenyewe ni ya kuwaua. ni kama alivyosema mwalimu kuwa unadanganywa kwa kupewa kipande cha chupa badala ya almasi halafu unashangilia kama zuzu.
 
hahahahahahha,, Jamaa anajibu kabisa Eti to be onesti i dont know exacli when it was found na huyu ni mgombea wa Nafasi SADC, atatuwakilisha nini,, wakati huo anasema anaexperience na SADc,, hivi kunamtanzania asiye jua maana ya neno Tanzania na imetokana na nini?
 
Lussu ambaye iliwahi kusikika Kikwete akisema kwa mdomo wake kuwa "" NI HERI SLAA AWE RAISI KULIKO LISSU KUWA MMBUNGE""
kwa kauli hii inaonesha Hata wanaCCM wanajua jasho lazima litaatoka Safali hii,,

tatizo kwa CCM hawana mandate wala legitimacy ya kuliongoza taifa hili....panga pangua inabidi watafute mwafaka na Chadema vinginevyo nchi hii hawataweza kuiongoza upinzani huku mtaani unaongezeka siku hata siku.....................
 
Kama Tundu anafahamu vyema kuhusu Sadc,kwanini hakugombea yeye?

Acha bahari zako wewe! Huyo hakuenda kutafuta macheo huko.....tumemtuma kwenda kuwakilisha jimbo la watu maskini sana ambalo halijawahi kupata uwakilishi tangu huru...zaidi ya kuwa na waponda usingizi bunge miaka yote. Tundu anao mzigo mkubwa sana, na kwa kwa kuwa kubeba mizigo ndo zake...mzingo wetu umepata mbebaji....Viva Lissu, vivaa......njaghamba ugihomeya uginyee!
 
>> kwa staili hii ya wabunge wa ccm kushabikia na kupiga makofi kwa kila hoja ya kijinga nakuambia kuna siku atakuja mzungu na wakati atapopewa nafasi na spika kuwasalimia....anaweza mfano kusema ....all tanzanian members of parliament especially ccm a fulish !......si ajabu utaona wanapiga makofi kwa furaha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom