Bungeni: Kujitoa MCC Hakutaathiri Mradi wa Usambazaji Umeme.

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
1-11.jpg

Serikali ya Tanzania imesema kujitoa kwa wafadhili wa Shirika la Changamoto za Milenia(MCC),katika miradi ya kuzalisha umeme hukujaathri utekeezaji wa miradio hiyo ya usambazaji wa umeme vijijini.

Akitoa kauli hiyo ya Serikali jana Bungeni mjini Dodoma katika kipindi cha Maswali na Majibu Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani, amesema miradi yote ya shirika hilo ya awamu ya kwanza ilitekelezwa vizuri na kukamilika.

Dkt. Kelemani amesema kuwa katika utekelezaji wa miradi hiyo awamu ya pili serikali itatoa shilingi bilioni moja na kiasi kingine kitatolewa na benki ya Maendeleo ya Afrika AFDB na Benki ya dunia (WB).

Dkt. Kilimani amesema tayari Bank ya Maendeleo ya Afrika imesema itatoa shilingi bilioni moja Dola za Marekani na vilevile Benki ya dunia itatoa shilingi bilioni 3 dola Marekani ili kukamilisha mradio huo kwa awamu ya tatu kwa hiyo mradi huo hautatetereka.
 
View attachment 340958

Hizo ni propaganda tu za serikali ya CCM.

Hiyo haina tofauti na familia inayoishi kwa kutegemea ufadhili wa mtu fulani, pale ambapo mfadhili huyo atakapokata misaada yake, kitakachotokea ingawa familia hiyo itaendelea kusurvive, lakini wataishi katika hard times.

Kama hapo awali walikuwa wakila milo 3 kwa siku, watalazimika kubana matumizi na kula milo 2 kwa siku.
 
View attachment 340958
Serikali ya Tanzania imesema kujitoa kwa wafadhili wa Shirika la Changamoto za Milenia(MCC),katika miradi ya kuzalisha umeme hukujaathri utekeezaji wa miradio hiyo ya usambazaji wa umeme vijijini.

Akitoa kauli hiyo ya Serikali jana Bungeni mjini Dodoma katika kipindi cha Maswali na Majibu Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani, amesema miradi yote ya shirika hilo ya awamu ya kwanza ilitekelezwa vizuri na kukamilika.

Dkt. Kelemani amesema kuwa katika utekelezaji wa miradi hiyo awamu ya pili serikali itatoa shilingi bilioni moja na kiasi kingine kitatolewa na benki ya Maendeleo ya Afrika AFDB na Benki ya dunia (WB).

Dkt. Kilimani amesema tayari Bank ya Maendeleo ya Afrika imesema itatoa bilioni mojashilingi Dola za Marekani na vilevile Benki ya dunia itatoa shilingi bilioni 3 dola Marekani ili kukamilisha mradio huo kwa awamu ya tatu kwa hiyo mradi huo hautatetereka.

hujaeleweka vizuri
 
Back
Top Bottom