pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,038
- 5,259
Tuchimbe tu yetu,
Si tunayo?
Si tunayo?
Hivi yule aliyetoboa bomba la mafuta na kujipimia kwenye vidumu aliishia wapi“Hatua hii itaifanya nchi yetu kuwa ‘hub’ ya biashara ya mafuta kwa nchi zinazotuzunguka na vilevile itawezesha nchi kuagiza mafuta mengi zaidi wakati bei ya mafuta imeshuka katika soko la dunia,” amesema.
Amesema kwa kipindi cha mpito wakati Serikali ikijapanga kujenga sehemu moja ya kupokelea shehena ya mafuta, ghala la kuhifadhi mafuta la TIPER lianze kutumika ili kuondoa tatizo la meli kusubiri kwa muda mrefu kuingia bandarini na kupunguza gharama za ucheleweshaji wa meli.
naomba ufafanuzi kwaUfuatao ni mchanganuo wa bei ya mafuta Tanzania kwa kila lita moja ni kama ifuatavyo:
View attachment 2122054
Hii inaonesha kuwa zaidi ya nusu ya bei ya mafuta kwa kila lita ni KODI..
Hata wauzaji wa vituo vya mafuta faida yao ni kidogo mno around Tsh 100 per litre.
Huu mchanganuo ni wa zamani kabla baadhi ya tozo kuondolewa au kupunguzwaUfuatao ni mchanganuo wa bei ya mafuta Tanzania kwa kila lita moja ni kama ifuatavyo:
View attachment 2122054
Hii inaonesha kuwa zaidi ya nusu ya bei ya mafuta kwa kila lita ni KODI..
Hata wauzaji wa vituo vya mafuta faida yao (Retailers Margin) ni kidogo mno around Tsh 100 per litre.
Wasitufanye sisi ni wajinga ,bei ya mafuta mpaka kufika bandari ya Dar ni. Shs 1,162.kifuatacho ni kujaza tozo na kodi mpaka kufikia hio 2,500+Hakuna sababu ya msingi hata moja, sababu ni wingi wa kodi na tozo