Bungeni: Jafo aeleza nyongeza ya mishahara kwa watumishi/walimu, kupanda madaraja kwenye bajeti hii

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Naibu waziri Jafo ameendelea kueleza kwamba serikali imejipanga vizuri katika kuongeza mishahara na posho kwa watumishi wake hasa kwa walimu wote wa serikali kutekeleza agizo alilosema Rais Dk John Pombe Magufuli wakati akiwa katika viwanja vya Kilimanjaro Mei mosi.

Akijibu swali leo bungeni, Jafo amesema kwamba walimu wakuu kwa sasa wanalipwa posho ya laki mbili na kuongeza motisha kwa walimu katika kusimamia sekta ya elimu pia amesema kwamba serikali imejipanga kujenga nyumba nyingi kwa watumishi wake ili kuondoa kero zote.



Kupanda madaraja kutaanza mapema mwaka huu kutokana na kuisha kwa uhakiki wa vyeti feki na kwamba watumishi hasa walimu wasiwe na wasiwasi katika kipindi hiki (2017-2018) -Naibu waziri Jafo alisema
 
Inch ya wananch walio zubaa!! Watawala sii madikteta ila wananch ni watii washamba haijawai tokea. Yani kiukweli sisi ni zaidi ya Mazombi, ukitaka kuamini, hata rais akienda kwenye mkutano wa hadhara akasema sipandishi mandaraja kwa watumishi wa umma wala siongezi mishahara!!.... Wananch wote watapiga makosi na vigelegele..... Ndio tulivyo watanzania, hata mizombi ina afadhali.
 
Hivi bado kuna watu wanaofatilia ahadi hewa? hizo ahadi hazikuanza leo. Wakat wa kampeni zilitolewa ahadi lukuki za nyongeza ya mishahara lkn mpaka leo hamna kitu sana sana vitisho tu
 
Back
Top Bottom