Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Naibu waziri Jafo ameendelea kueleza kwamba serikali imejipanga vizuri katika kuongeza mishahara na posho kwa watumishi wake hasa kwa walimu wote wa serikali kutekeleza agizo alilosema Rais Dk John Pombe Magufuli wakati akiwa katika viwanja vya Kilimanjaro Mei mosi.
Akijibu swali leo bungeni, Jafo amesema kwamba walimu wakuu kwa sasa wanalipwa posho ya laki mbili na kuongeza motisha kwa walimu katika kusimamia sekta ya elimu pia amesema kwamba serikali imejipanga kujenga nyumba nyingi kwa watumishi wake ili kuondoa kero zote.
Kupanda madaraja kutaanza mapema mwaka huu kutokana na kuisha kwa uhakiki wa vyeti feki na kwamba watumishi hasa walimu wasiwe na wasiwasi katika kipindi hiki (2017-2018) -Naibu waziri Jafo alisema