Bungeni: Idadi ya watalii imeongezeka kiduchu sana

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
Kutoka Bungeni: Watalii wameongezeka kwa 12.9% mwaka 2016/2017

Source: Tanzania sees 12.9 per cent rise in tourist numbers

Hii ni idadi ndogo sana...ilitakiwa tupate 30 to 40%

Serikali hapa imepoteza revenue in form of Park Entry fee na Permit fees

Achilia mbali kodi za makampuni

Bidhaa kuuzika supermarket

Look at Tourist attractions, natural wonders which are no where in East Africa and Africa

- Mount Kilimanjaro

- Ngorongoro Crater

- Serengeti

- Selous

Pia angalia usalama wa Watalii uko juu, case za wizi ni chache sana

Angalia Marketing za Kampuni za Utalii na TTB

--Yaani ndio tupate ongezeko la 12.9 TU...Mtu mwenye akili utajisifu kwa hili kweli?

Jiulize mauritious, Egypt, South Africa wana nini kutuzidi?

Kuna matatizo sehemu

Serikali iache ubabe na kiburi...Wakae na Sekta binafsi

Kuwe na busara ya biashara (tourism is business and service/product)

Tuache siasa kwenye vitu professional...propaganda uchwara hazitasaidia
 
Hivi Mh. MP Admire are you really in your sound mind? Ongezeko la almost 13% kwenye biashara unaliona ni dogo? Halafu hujatuambia miaka ya nyuma trend ya ongezeko kwa mwaka lilikuwa kiasi gani? Jee lilikuwa linaongezeka kwa zaidi ya hapo ilikufikia hiyo conclusion yako kwamba sasa hivi ongezeko limekuwa kiduchu sana? Na hao wa Mauritius, Egypt na South Afrika uliowanukuu ongezeko lao kwa mwaka ni kiasi gani.

Halafu huoni kwamba ongezeko hilo la watalii la 13% baada ya kuwatoza VAT ya 18% ambayo huko nyuma tulikuwa hatuwatozi ni ongekeko la zaidi ya 50% kwenye pato la taifa linalotokana na biashara hii ya utalii? You must be out of your mind. Nadhani tatizo ni kuwa deals zako kwenye biashara hii ya utalii imefungwa makufuli. Pole sana, tafuta biashara nyingine.

NB: I am very sorry Mr MP but it seems your level of appreciation of issues of national interests is appreciating!
 
Jamaa alishasema kuwa hataki mtanzania yeyote kumuelekeza la kufanya!

Kwa kuwa form ya Urais alienda mwenyewe kuchukua kule Dodoma na hakuekekezwa na MTU yeyote kufanya hivyo.....

Iweje leo mumuelekeze la kufanya!?

Dawa ya mtu mwenye kiburi cha aina hiyo ni ndogo tu........

Tunasubiri 2020 tuone kama kura yake moja na ile ya 'his wife' kama zitatosha kumrudisha Ikulu!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hivi Mh. MP Admire are you really in your sound mind? Ongezeko la almost 13% kwenye biashara unaliona ni dogo? Halafu hujatuambia miaka ya nyuma trend ya ongezeko kwa mwaka lilikuwa kiasi gani? Jee lilikuwa linaongezeka kwa zaidi ya hapo ilikufikia hiyo conclusion yako kwamba sasa hivi ongezeko limekuwa kiduchu sana? Na hao wa Mauritius, Egypt na South Afrika uliowanukuu ongezeko lao kwa mwaka ni kiasi gani.

Halafu huoni kwamba ongezeko hilo la watalii la 13% baada ya kuwatoza VAT ya 18% ambayo huko nyuma tulikuwa hatuwatozi ni ongekeko la zaidi ya 50% kwenye pato la taifa linalotokana na biashara hii ya utalii? You must be out of your mind. Nadhani tatizo ni kuwa deals zako kwenye biashara hii ya utalii imefungwa makufuli. Pole sana, tafuta biashara nyingine.

NB: I am very sorry Mr MP but it seems your level of appreciation of issues of national interests is appreciating!

Dili gani mfano zinaweza kufungwa na VAT? Unaijua hii biashara au unaleta siasa hapa?

Wewe tafuta Information from reliable sources, acha kuleta mihemko ya siasa hapa
 
Kwani wewe hukusikia hizo kelele zilizopigwa na mawakala wa utalii hasa huko Arusha pale serikali ilipoanzisha tozo la VAT kwa watalii wanaoingia Tanzania? Kelele zilipigwa kuwa watalii hawatakuja tena nchini kwetu, wataenda Kenya ambako kodi hiyo haiko. Leo ni watu hawa hawa wanasema watalii wameongezeka ila ongezeko hilo la 13% kwa mwaka ni kiduchu sana. Sasa nani analeta siasa hapa kati yangu na wewe? Halafu hili jukwaa hujui kwamba ni la siasa?
 
Vizuri, kumbe hujui utalii...na unajua siasa

Sawa basi watu watakupuuza..maana issue za utalii hujui...unajua siasa

Unajua VAT inavyofanya kazi?

Hiyo 18% nani analipa?

Unafikiri Tour Operators/Mawakala ndio wanatoa pesa mfukoni kulipa VAT? au pesa zinatoka mfukoni kwa mtalii?

Kwa Maswali haya, nina imani utajiongeza...Unapiga siasa zaidi na umekubali....Civics ulipata D au F?
 
Mbona wewe ndiyo huelewi. VAT ni Value Added Tax au kodi ya ongezeko la thamani. Inalipwa na consumer yaani mteja. In this case analipa mtalii. Hivyo mzigo anautwika mtalii. Hivyo wasiwasi wa tour operators ilikuwa watalii watapungua kuja Tanzania maana wameongezewa gharama ya utalii kwa kutozwa VAT ambayo nchi kama Kenya wana exemption ya VAT. Watalii wakipungua kuja nchini biashara ya tour operators itadorora. Sasa kama huoni hiyo logic ya tour operators kupiga kelele wakati huo, basi your level of analyzing issues seems to have depreciated. This is not a matter of civics but of mathematical analysis, a subject which it appears was a hell to you.
 
Ndio, watapungua ila sio kutokuja

Sasa Tour Operator bado atapata faida tu, maana sio yeye analipa VAT

Sasa unavyosema ninakosa Dili, ninakosa kivipi?

Amka fungua na wewe biashara, achana na spoon feeding
 
You are a very ridiculous person. Wewe hujui shughuli zangu ni zipi halafu unataka nikafungue biashara za kubahatisha kama za kwako. Huelewi kwamba watalii wakipungua kuja nchini kuwa baadhi ya tour operators watakosa kabisa kazi na kufunga biashara zao. Haujui kwamba kuna utitiri wa tour operators wanao compete kwenye biashara hiyo. Haujui kwamba business is a game of gambling? For your information I am not in that game. Mimi nafanya vitu vya uhakika na siyo wewe unayefanya gambling. And you will never convice me otherwise my friend.
 
Kama hufanyi Tourism Business, don't talk about Tour Operators

Without Research, No right to Speak

Dr. Hewa....
 
Back
Top Bottom