Bungeni - Highness Kiwia (Ilemela) atoa semina kwa Wabunge

Aliyekuwa Gavana wa Califonia, Anold S. alizaliwa ulaya na kukulia marekani, wamarekani, Obama kazaliwa Hawaii baadaye kachaguliwa kuwa seneta wa Illnois (Chikago). Viongozi wengi tanzania wanafanya kazi nje ya mikoa waliyozaliwa. Tunaukataa huu ubaguzi wa mkoa, kanda na aina zote za kubaguana kwa nguvu zote. Sote ni watanzania wenye haki popote mradi sifa zinazotakiwa anazo.

Mkuu,
nimekupa thanx lakini naona haitoshi, imebidi niku-quote.
Yaani humu ndani tuna wabaguzi..hata makaburu hawakufikia level hii!!
 
Viongozi wetu hawayaoni matatizo ya watanzania, wanafunzi wanakaa chini madarasani(kama yapo), wakati mawaziri wanatembelea magari ya bei mbaya, hata kama nchi ni masikini tungewaona wapo makini kama kidogo kilichopo tungegawana. AT LEAST MADAWATI SHULENI.

Nyerere aliyaona sana matatizo hayo, na sasa Chama cha Chadema wanayaona hayo matatizo, CCM hawawezi kuyaona matatizo hayo kwa vile wao ndo walioasisi na ndio maana wanakingia kifua kuyatetea yaendelee.
 
Back
Top Bottom