Bungeni: Felix Mkosamali amlipua Pinda

Nakumbuka Magufuli alilalamika sana hii kitu kuingilia kazi zake. Lakini Magufuli amsome Pinda aliwahi kwenda jimboni kwake Chato akamchana mbele ya wapiga kura wake, huyu kwake ni mfitina hivyo aepukane naye kabisa mzee wa kulia aka mzee wa kupindisha sheria!
 
Back
Top Bottom