Hivi Hili Ni Bunge Ama Bonge?Wabunge wanajadili maswala ya gongo bungeni! So stupid yani! Bunge ukiacha lile la Pius Msekwa na la Samwel Sitta mabubge yaliofata yamekuwa na utopolo wa hali ya juu!
Hata msipotuchagua CCM ndiyo itaunda serikali. Alisema kwa kujiaminiHicho ndio walikitamani katika awamu ya karibuni,hata kuamua kupora uchaguzi ili wafikie malengo yao.
Nishampa dozi yake kuleUmempata
Ni mbunge wako ?? Au wataka aseme tuJamani hata Mbunge wangu Bashiru ameshindwa kuuliza swali la nyongeza?
Naomba nikukumbushe hao wabunge hawakupigiwa kura walipitishwa kwa nguvu ya chama.Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson amesema, leo kulikuwa na kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, lakini hakuna mbunge hata mmoja aliyejiandikisha kwa ajili ya kumuuliza Waziri Mkuu.
Nchi yetu ina matatizo mengi kuanzia elimu, afya, maji, haki za binadamu, ajira nk. Haiwezekani wawakilishi wote wakose hata kitu kimoja cha kuihoji serikali.
Kama taifa tuna hasara kubwa lkn wabunge wataendelea kunufaika na posho za kikao na usishangae kesho wakasema siku za kikao cha bunge hazitoshi na posho iongezwe wakati hawana hata swali moja la kuihoji serikali, haya ni matumizi mabaya ya pesa ya mlipa kodi.
Kama wameishiwa maswali tusisikie wanataka muda wa bunge uongezwe kama vipi warudi majimboni.
Kuna mtu alihoji hivi hatuwezi kuiishi bila bunge hadi tutakapojitambua?Hao ni wateule wanachakata posho tu ambazo ni jasho la wanyonge.
Bashiru na polepole hawamuwakilishi yeyote maana aliyewateua ni marehemu sasa watamuwakilisha nani marehemu? Samia atateua wake.Jamani hata Mbunge wangu Bashiru ameshindwa kuuliza swali la nyongeza?
Mkuu usisahau kuwa hili bunge la safari hii ni "mhuri" kwa maana takriban 80+ waliingia kwa hisani ya "mwendazake" binafsi sitarajii waliotolewa majalalani kuchangia kwa mustakabali wa Taifa.Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson amesema, leo kulikuwa na kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, lakini hakuna mbunge hata mmoja aliyejiandikisha kwa ajili ya kumuuliza Waziri Mkuu.
Nchi yetu ina matatizo mengi kuanzia elimu, afya, maji, haki za binadamu, ajira nk. Haiwezekani wawakilishi wote wakose hata kitu kimoja cha kuihoji serikali.
Kama taifa tuna hasara kubwa lkn wabunge wataendelea kunufaika na posho za kikao na usishangae kesho wakasema siku za kikao cha bunge hazitoshi na posho iongezwe wakati hawana hata swali moja la kuihoji serikali, haya ni matumizi mabaya ya pesa ya mlipa kodi.
Kama wameishiwa maswali tusisikie wanataka muda wa bunge uongezwe kama vipi warudi majimboni.
Ohoooo! Watimuliwa. Wale majina yao yameandikwa kwa pensel kifutio tu kinatosha kuyafutaHata Covid 19 Walikoswa cha kumuuliza Waziri?