Bungeni Dodoma: Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai apiga marufuku Wabunge kubandika kope na kucha

Hizo kucha bandia na kote.. zina uhusiano gani na wao kuingia bungeni na kuketi tu?..duh

Pia kama amepata malalamiko.. ni juu ya nini haswa na kivipi zinasumbua wengine au yeye?
Mkuu Bado kidogo tutaelewana tu.
 
Hivi Ndugai amejuaje kama hizo kucha na kope ni bandia? Mbona mimi huwa siwezi kuzitofautisha
 
Bado na nywele bandia maana mh wakiziwiliwa hayo mawigi ndo tutawajua vizuri walivyo
 
Wabunge nao wanaiga mambo ya hovyohovyo yasiyokuwa na Maadaili, maadili wala utamaduni wa Kitanzania. Hovyo kabisa MPigs!
 
Hahahah, Sasa Kucha bandia na Kope bandia zinahusiana vipi na kutunga sheria bora na zenye maslahi ya Taifa?

Hii ni distraction tu baada ya Bunge kupigwa mawe ya nguvu na baadhi ya wabunge kuwa limekuwa rubber stamp ya serikali!

Ndugai anataka kudivert attention za watu lakini najua hakutakuwa na enforcement yoyote ya tamko hilo
 
Hizo kucha bandia na kote.. zina uhusiano gani na wao kuingia bungeni na kuketi tu?..duh

Pia kama amepata malalamiko.. ni juu ya nini haswa na kivipi zinasumbua wengine au yeye?
Tukuulize wewe mke wa chakubanga..trhe teheee
 
Hivi ikitokea Mbunge Rasta anaweza ruhusiwa kuingia Bungeni na Rasta zake?
 
Back
Top Bottom