Bungeni, Dodoma: Spika Ndugai ataka NIDA kuitwa na Kamati. Asema haifanyi vizuri

Msaada tafadhali
Nikitaka kupata details nilizojaza kwenye form ya NIDA nazipata wapi? Nilijaza form ya kuomba kitambulisho 2012, sasa nimeenda bank kugungua account wananitwanga maswali ili waweze kuverify details zangu kama zinafanana na za huko NIDA
 
Back
Top Bottom