Ila hii ya mbowe ni aibuuuuuNdugai alimpiga mwenzie fimbo za kisogoni hadi akazimia, Ndugai hana huruma Wala utu
Ila hii ya mbowe ni aibuuuuuNdugai alimpiga mwenzie fimbo za kisogoni hadi akazimia, Ndugai hana huruma Wala utu
Kwa nini iwe hivyo?Hata iweje ila kakera
Mtu hajapumzishwa bado afu mnaleta siasa msibanKwa nini iwe hivyo?
Dah watanzania tunakoelekea siyo!Duh! Anaagwa mara ngapi? Hiyo fedha si no bora wapeleke Jimboni kwake hata kununua madawati kama mchango?
Chanzo ni nini?Mtu hajapumzishwa bado afu mnaleta siasa msiban
Unaonesha ili iweje sasa?? Badala ya kuonesha mtu akiwa hai anachapa kazi, unaonesha ameshafariki??? Hapo jamani lazima mtafakari vemaWangeacha kuonyesha napo mngesematu.
Nani amekudanganya???Imekuwa kama tamaduni sasa kwa hivi vyama viwili kila linapotokea jambo lazima warushiane maneno na kila mmoja kumlaumu mwingine.
Ni matukio mengi tu yametokea hapa nchini na upande mmoja kumlaumu mwingine kwa maana kila jambo kulihusisha na mambo ya kisiasa yaani watoto wa mjini wanasema kutafuta kiki.
Sasa itafika mahali tunaweza kuona kama kuna jambo lilijificha ya hawa wawili katika matukio yanapotokea na kiasi cha kuanza kupoteza yale mashiko ya kiasiasa.
Nadhani ni muhimu sana kwa waliopo ndani ya vyama hivi kuhakikisha wana control ndimi zao pale linapotokea jambo lolote lile la kitaifa kwasababu ndiyo utamaduni tulioachiwa na waasisi wa nchi kujenga umoja na upendo miongoni mwa wananchi.
Chanzo ni kulaumiana msiban kuwa bunge halijamuhudumia marehemuChanzo ni nini?
Ila Bunge limesema muda wote lilikuwa na Familia... jamani hata chama huwa kinafuata maelekezo ya familia at the end of the day.Spika ndugai ni mpotoshaji mkubwa hakuna mahala MHE.Mbowe wala chadema wamelalamikia huduma alizopewa marehemu bali wamelalamikia Bunge kupanga ratiba ya msiba BILA ya kushirikisha familia ya marehemu wala chama chake.
Kumbe wote walishindwa kujipanga chama na bunge, bila chama hamna mbunge na bila bunge hamna mbunge vyote vinategemeana ilitakiwa wasiliano yawepo baina ya pande zote mbili tusingeona huo mvutano.Chanzo ni kulaumiana msiban kuwa bunge halijamuhudumia marehemu
Halijamhudumia kivipi?!Chanzo ni kulaumiana msiban kuwa bunge halijamuhudumia marehemu
Tatizo Mbowe anajaribu kukwepa sehemu ya wajibu wake!Kumbe wote walishindwa kujipanga chama na bunge, bila chama hamna mbunge na bila bunge hamna mbunge vyote vinategemeana ilitakiwa wasiliano yawepo baina ya pande zote mbili tusingeona huo mvutano.
Kuwa huru huyu marehemu alikuwa chama gani?Tatizo Mbowe anajaribu kukwepa sehemu ya wajibu wake!
Chadema!.... Swali lingine?Kuwa huru huyu marehemu alikuwa chama gani?
Jibu ushapataChadema!.... Swali lingine?
Dr Tulia ameelezea namna bunge lilivyomhudumia marehemu na kwamba pale Muhimbili walikuwepo wanafamilia pekee wakimuuguza, Mbowe alipaswa kutueleza Chadema kama chama walimuhudumiaje mwalimu. Pale Aga Khan Nairobi viongozi walipeana zamu kumhudumia Lisu au wabunge wa Chadema wana madaraja?!Jibu ushapata
Nafikir kila kitu kipo wazi mkuu sion point hapo tufunge huu mjadala communicaton ni kitu kizur zaidi kwa sasa tuneingiwa na mdudu uchama huwezi kumshirikisha mwenzio kwa kuwa unamilik kitu fulani.Dr Tulia ameelezea namna bunge lilivyomhudumia marehemu na kwamba pale Muhimbili walikuwepo wanafamilia pekee wakimuuguza, Mbowe alipaswa kutueleza Chadema kama chama walimuhudumiaje mwalimu. Pale Aga Khan Nairobi viongozi walipeana zamu kumhudumia Lisu au wabunge wa Chadema wana madaraja?!