Bungeni Dodoma: Hotuba Ya Waziri Mpango, Akiwasilisha Bajeti kuu Ya Mwaka 2020/2021 kiasi cha Tsh.Trilioni 34.88

Halafu angalia hali halisi. Inatekelezwa kwa asilimia chini ya 50.
Mwaka unaofuata unaongeza namba kufurahisha genge.
Sijui tumerogwa na nani.
 
Kama kweli uchumi unapanda, why we have the same budget figure? Daily, am stuck on our economics statistics provided by Tanzania institute of statistics.
 
Kuna wakati flani bajeti ilipanda hadi $31Billion (Ni pale tulipoanza kujenga SGR na kupanua Bandari ya Mombasa at the same time) alafu ikashuka tena hadi $27.9B mwaka huu. Mwaka jana ilikua $30B nashuku mwaka ujao itakua kama $28B manake itakua bado hatuja recover vizuri kiuchumi.
 
Acha ushamba wewe if u don't know anything concerning economic ,plz move out
Hahaha pambana sasa na hiyo economic yako wajeba ndo wameshapanga ukitaka pangua!!
Ila kaa ukijua hiyohiyo economic ndo unayosema siijui ndio inayoniweka mjini.. mshamba ni yule asiejua kuwa hata covid 19 kuna watu imewainua kiuchumi!.. mkuu siku njema am out😜😜
 
Kuna wakati flani bajeti ilipanda hadi $31Billion (Ni pale tulipoanza kujenga SGR na kupanua Bandari ya Mombasa at the same time) alafu ikashuka tena hadi $27.9B mwaka huu. Mwaka jana ilikua $30B nashuku mwaka ujao itakua kama $28B manake itakua bado hatuja recover vizuri kiuchumi.

Yaani noma, bajeti yetu huwa karibu mara mbili ya Tanzania, ama kwa kweli hamna haja ya kuendelea kujibizana na hawa kwenye JF, hatupo kwenye ligi moja kabisaaaaaaaa!

Aibu sana.
 
Halafu angalia hali halisi. Inatekelezwa kwa asilimia chini ya 50.
Mwaka unaofuata unaongeza namba kufurahisha genge.
Sijui tumerogwa na nani.
Kweli kabisa, unaweza kukuta imekaa kisiasa ili angalau ikaribiane na ya kenya lakini kwenye pesa zinazotoka ni asilimia 30 pekee. Na unaweza kuta idara nyingine hazipati kitu kabisa, ila zile wanazoziita nyeti mambo yao yako safi, ije mvua, lije jua....
 
Tanzania ina wachumi wabovu kuliko nchi zote Africa, Tangu awamu ya tano iingie madarakani tunaanbiwa uchumi unakua kwa 7% lakini budget yetu ni ile ile miaka yote hili swala nimekuwa najiuliza kila mara ,hata GDP yetu kila kukicha tunaambiwa inakuwa kwa asilimia 7 Ukiangalia data zao na tunavyo rank duniani unakuta hakuna tofauti na hakuna ongezeko ,sasa unajiuliza uchumi wetu una kua au umeganda? wizara hii ya fedha kuna tatizo kubwa la uelewa kwa wafanyakazi.
 
Sasa wafanye nini kama hawana pesa, wakiweka kubwa siyo ufumbuzi kwani wafadhili hawataki kuchangia.
 
Yaani noma, bajeti yetu huwa karibu mara mbili ya Tanzania, ama kwa kweli hamna haja ya kuendelea kujibizana na hawa kwenye JF, hatupo kwenye ligi moja kabisaaaaaaaa!

Aibu sana.
Kuna wakati flani bajeti ilipanda hadi $31Billion (Ni pale tulipoanza kujenga SGR na kupanua Bandari ya Mombasa at the same time) alafu ikashuka tena hadi $27.9B mwaka huu. Mwaka jana ilikua $30B nashuku mwaka ujao itakua kama $28B manake itakua bado hatuja recover vizuri kiuchumi.
Issue Ni mlitekeleza kwa asilimia ngap?kua na budget kubwa ni vizuri lakini utekelezaji ndio mzuri zaidi,msiwe kama watu ambao hamjielewi
 
Nyie nimeshangaa kusoma sehemu eti hata hako kabajeti kadogo hamkutekeleza asilimia hamsini, hivi kwenu huko kuna wataalam kwenye nchi kweli kaka, mbona mumeachia wanasiasa kila kitu kuanzia elimu, afya hadi uchumi ni matamko ya kisiasa hamna protocols za kitaalam.....
 
Sehemu gani unayozungumzia?
 
Yaani noma, bajeti yetu huwa karibu mara mbili ya Tanzania, ama kwa kweli hamna haja ya kuendelea kujibizana na hawa kwenye JF, hatupo kwenye ligi moja kabisaaaaaaaa!

Aibu sana.
1592377751194.png
 
Nyie nimeshangaa kusoma sehemu eti hata hako kabajeti kadogo hamkutekeleza asilimia hamsini, hivi kwenu huko kuna wataalam kwenye nchi kweli kaka, mbona mumeachia wanasiasa kila kitu kuanzia elimu, afya hadi uchumi ni matamko ya kisiasa hamna protocols za kitaalam.....
1592377781877.png
 
Issue Ni mlitekeleza kwa asilimia ngap?kua na budget kubwa ni vizuri lakini utekelezaji ndio mzuri zaidi,msiwe kama watu ambao hamjielewi
Sisi hua ni kweli tuko na rushwa kuliko Tanzania in general lakini bado Serekali inafanya kazi. Tuchukue tu mfano wa SGR, popular opinion ni kwamba kulikua na underhand payments za rushwa kutoka kwa wachina ndani ya serekali na kuna pesa nyingi ziliibiwa, lakini mwisho wa siku, kuna SGR hakuna? inafanya kazi haifanyi? Je barabara zinajengwa hazijengwi? na quality yake inakubalika au haikubaliki?

So unakuta Kenya rushwa iko lakini licha ya hio bado kazi inafanyika, wasomi/wataalam wa kufanya kazi wapo, shida ni vile kuna wengine waliomo kazini llazima wachote 10% wajaze mifuko yao....,
Thats why although Kenya ina rank vibaya kwa corrution kushinda TZ bado Serekali ya Kenya iko more effective in delivering projects kuliko serekali ya Tanzania

1592472710068.png

https://www.mcc.gov/who-we-fund/scorecard/fy-2020/TZ

1592472913689.png

https://www.mcc.gov/who-we-fund/scorecard/fy-2020/KE
 
Back
Top Bottom