Mimi sio wa kijana , siwez pitaGombea wewe ikue
Pambana na hali yako sasaMimi sio wa kijana , siwez pita
Acha ushamba wewe if u don't know anything concerning economic ,plz move outPambana na hali yako sasa
Ke ni $25BKama kweli uchumi unapanda, Why we have the same budget figure? Daily, am stuck on our economics statistics provided by Tanzania institute of statisticw
Hahaha pambana sasa na hiyo economic yako wajeba ndo wameshapanga ukitaka pangua!!Acha ushamba wewe if u don't know anything concerning economic ,plz move out
Kuna wakati flani bajeti ilipanda hadi $31Billion (Ni pale tulipoanza kujenga SGR na kupanua Bandari ya Mombasa at the same time) alafu ikashuka tena hadi $27.9B mwaka huu. Mwaka jana ilikua $30B nashuku mwaka ujao itakua kama $28B manake itakua bado hatuja recover vizuri kiuchumi.
Kweli kabisa, unaweza kukuta imekaa kisiasa ili angalau ikaribiane na ya kenya lakini kwenye pesa zinazotoka ni asilimia 30 pekee. Na unaweza kuta idara nyingine hazipati kitu kabisa, ila zile wanazoziita nyeti mambo yao yako safi, ije mvua, lije jua....Halafu angalia hali halisi. Inatekelezwa kwa asilimia chini ya 50.
Mwaka unaofuata unaongeza namba kufurahisha genge.
Sijui tumerogwa na nani.
Yaani noma, bajeti yetu huwa karibu mara mbili ya Tanzania, ama kwa kweli hamna haja ya kuendelea kujibizana na hawa kwenye JF, hatupo kwenye ligi moja kabisaaaaaaaa!
Aibu sana.
Issue Ni mlitekeleza kwa asilimia ngap?kua na budget kubwa ni vizuri lakini utekelezaji ndio mzuri zaidi,msiwe kama watu ambao hamjielewiKuna wakati flani bajeti ilipanda hadi $31Billion (Ni pale tulipoanza kujenga SGR na kupanua Bandari ya Mombasa at the same time) alafu ikashuka tena hadi $27.9B mwaka huu. Mwaka jana ilikua $30B nashuku mwaka ujao itakua kama $28B manake itakua bado hatuja recover vizuri kiuchumi.
Issue Ni mlitekeleza kwa asilimia ngap?kua na budget kubwa ni vizuri lakini utekelezaji ndio mzuri zaidi,msiwe kama watu ambao hamjielewi
Sehemu gani unayozungumzia?Nyie nimeshangaa kusoma sehemu eti hata hako kabajeti kadogo hamkutekeleza asilimia hamsini, hivi kwenu huko kuna wataalam kwenye nchi kweli kaka, mbona mumeachia wanasiasa kila kitu kuanzia elimu, afya hadi uchumi ni matamko ya kisiasa hamna protocols za kitaalam.....
Yaani noma, bajeti yetu huwa karibu mara mbili ya Tanzania, ama kwa kweli hamna haja ya kuendelea kujibizana na hawa kwenye JF, hatupo kwenye ligi moja kabisaaaaaaaa!
Aibu sana.
Nyie nimeshangaa kusoma sehemu eti hata hako kabajeti kadogo hamkutekeleza asilimia hamsini, hivi kwenu huko kuna wataalam kwenye nchi kweli kaka, mbona mumeachia wanasiasa kila kitu kuanzia elimu, afya hadi uchumi ni matamko ya kisiasa hamna protocols za kitaalam.....
Sisi hua ni kweli tuko na rushwa kuliko Tanzania in general lakini bado Serekali inafanya kazi. Tuchukue tu mfano wa SGR, popular opinion ni kwamba kulikua na underhand payments za rushwa kutoka kwa wachina ndani ya serekali na kuna pesa nyingi ziliibiwa, lakini mwisho wa siku, kuna SGR hakuna? inafanya kazi haifanyi? Je barabara zinajengwa hazijengwi? na quality yake inakubalika au haikubaliki?Issue Ni mlitekeleza kwa asilimia ngap?kua na budget kubwa ni vizuri lakini utekelezaji ndio mzuri zaidi,msiwe kama watu ambao hamjielewi