Bungeni Dodoma: Hotuba Ya Waziri Mpango, Akiwasilisha Bajeti kuu Ya Mwaka 2020/2021 kiasi cha Tsh.Trilioni 34.88

Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
17,111
2,000
Halafu angalia hali halisi. Inatekelezwa kwa asilimia chini ya 50.
Mwaka unaofuata unaongeza namba kufurahisha genge.
Sijui tumerogwa na nani.
 
cordoba

JF-Expert Member
Jul 15, 2017
650
1,000
Kama kweli uchumi unapanda, why we have the same budget figure? Daily, am stuck on our economics statistics provided by Tanzania institute of statistics.
 
Kafrican

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
6,982
2,000
Kuna wakati flani bajeti ilipanda hadi $31Billion (Ni pale tulipoanza kujenga SGR na kupanua Bandari ya Mombasa at the same time) alafu ikashuka tena hadi $27.9B mwaka huu. Mwaka jana ilikua $30B nashuku mwaka ujao itakua kama $28B manake itakua bado hatuja recover vizuri kiuchumi.
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
18,371
2,000
Acha ushamba wewe if u don't know anything concerning economic ,plz move out
Hahaha pambana sasa na hiyo economic yako wajeba ndo wameshapanga ukitaka pangua!!
Ila kaa ukijua hiyohiyo economic ndo unayosema siijui ndio inayoniweka mjini.. mshamba ni yule asiejua kuwa hata covid 19 kuna watu imewainua kiuchumi!.. mkuu siku njema am out😜😜
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,051
2,000
Kuna wakati flani bajeti ilipanda hadi $31Billion (Ni pale tulipoanza kujenga SGR na kupanua Bandari ya Mombasa at the same time) alafu ikashuka tena hadi $27.9B mwaka huu. Mwaka jana ilikua $30B nashuku mwaka ujao itakua kama $28B manake itakua bado hatuja recover vizuri kiuchumi.

Yaani noma, bajeti yetu huwa karibu mara mbili ya Tanzania, ama kwa kweli hamna haja ya kuendelea kujibizana na hawa kwenye JF, hatupo kwenye ligi moja kabisaaaaaaaa!

Aibu sana.
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,585
2,000
Halafu angalia hali halisi. Inatekelezwa kwa asilimia chini ya 50.
Mwaka unaofuata unaongeza namba kufurahisha genge.
Sijui tumerogwa na nani.
Kweli kabisa, unaweza kukuta imekaa kisiasa ili angalau ikaribiane na ya kenya lakini kwenye pesa zinazotoka ni asilimia 30 pekee. Na unaweza kuta idara nyingine hazipati kitu kabisa, ila zile wanazoziita nyeti mambo yao yako safi, ije mvua, lije jua....
 
Wo shi niubi

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,072
2,000
Tanzania ina wachumi wabovu kuliko nchi zote Africa, Tangu awamu ya tano iingie madarakani tunaanbiwa uchumi unakua kwa 7% lakini budget yetu ni ile ile miaka yote hili swala nimekuwa najiuliza kila mara ,hata GDP yetu kila kukicha tunaambiwa inakuwa kwa asilimia 7 Ukiangalia data zao na tunavyo rank duniani unakuta hakuna tofauti na hakuna ongezeko ,sasa unajiuliza uchumi wetu una kua au umeganda? wizara hii ya fedha kuna tatizo kubwa la uelewa kwa wafanyakazi.
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
8,187
2,000
Sasa wafanye nini kama hawana pesa, wakiweka kubwa siyo ufumbuzi kwani wafadhili hawataki kuchangia.
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
14,258
2,000
Yaani noma, bajeti yetu huwa karibu mara mbili ya Tanzania, ama kwa kweli hamna haja ya kuendelea kujibizana na hawa kwenye JF, hatupo kwenye ligi moja kabisaaaaaaaa!

Aibu sana.
Kuna wakati flani bajeti ilipanda hadi $31Billion (Ni pale tulipoanza kujenga SGR na kupanua Bandari ya Mombasa at the same time) alafu ikashuka tena hadi $27.9B mwaka huu. Mwaka jana ilikua $30B nashuku mwaka ujao itakua kama $28B manake itakua bado hatuja recover vizuri kiuchumi.
Issue Ni mlitekeleza kwa asilimia ngap?kua na budget kubwa ni vizuri lakini utekelezaji ndio mzuri zaidi,msiwe kama watu ambao hamjielewi
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,051
2,000
Issue Ni mlitekeleza kwa asilimia ngap?kua na budget kubwa ni vizuri lakini utekelezaji ndio mzuri zaidi,msiwe kama watu ambao hamjielewi

Nyie nimeshangaa kusoma sehemu eti hata hako kabajeti kadogo hamkutekeleza asilimia hamsini, hivi kwenu huko kuna wataalam kwenye nchi kweli kaka, mbona mumeachia wanasiasa kila kitu kuanzia elimu, afya hadi uchumi ni matamko ya kisiasa hamna protocols za kitaalam.....
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
14,258
2,000
Nyie nimeshangaa kusoma sehemu eti hata hako kabajeti kadogo hamkutekeleza asilimia hamsini, hivi kwenu huko kuna wataalam kwenye nchi kweli kaka, mbona mumeachia wanasiasa kila kitu kuanzia elimu, afya hadi uchumi ni matamko ya kisiasa hamna protocols za kitaalam.....
Sehemu gani unayozungumzia?
 
Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
15,219
2,000
Yaani noma, bajeti yetu huwa karibu mara mbili ya Tanzania, ama kwa kweli hamna haja ya kuendelea kujibizana na hawa kwenye JF, hatupo kwenye ligi moja kabisaaaaaaaa!

Aibu sana.
1592377751194.png
 
Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
15,219
2,000
Nyie nimeshangaa kusoma sehemu eti hata hako kabajeti kadogo hamkutekeleza asilimia hamsini, hivi kwenu huko kuna wataalam kwenye nchi kweli kaka, mbona mumeachia wanasiasa kila kitu kuanzia elimu, afya hadi uchumi ni matamko ya kisiasa hamna protocols za kitaalam.....
1592377781877.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom