Bungeni, Dodoma: Askofu Gwajima agoma tena kukaa kwenye kiti wakati akihojiwa leo 25/08/2021. Asema amezoea kusimama

Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni.

Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.

View attachment 1907812
View attachment 1907814
Sio bure uenda ana taarifa za uhakika walichokipanga juu yake,Msisahau ya Kolimba,CCM wana criminal history ya uuaji for a longtime now.
 
Gwaji boy yupo sahihi hapaswi kuviamini alivyovikuta kikubwa kaitikia wito mambo ya akae wapi wasijifanye wamemuita akakae hata kwake viti vipo
 
Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni.

Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.

View attachment 1907812
View attachment 1907814

Morani ndani ya disco.

Komaa nao nabii. Wakikuangalia wamwone nabii kama vipi, Elisha 😂😂!

Hiiiiii bagosha!
 
Yesu mwenyewe alitoroshwa mpaka Misri kumkimbia Herode,kwani ni asingebaki tu Mungu amlinde?

Usikariri.
Wewe ndiye unakariri. Yesu hakuja duniani ili alindwe na Mungu. Kinyume chake ni kuwa Yesu alijitoa sadaka na alipoenda Misri ni kwa sababu bado alikuwa hajatimiza kazi yake. Na zaidi Yesu hakuwahi kujigamba kuwa kama kuna mtu anataka kumdhuru basi anadhurika yeye kwanza. Gwajima ndiye anajigamba hivyo. Anajigamba kuwa haogopi chochote kwa sababu hakuna wa kumdhuru. Yaani ukitaka kumdhuru wewe unapata madhara kabla hujatekeleza unalodhamiria. Ewe ndondocha wa porn star Gwajima ona hujui hata maandiko kwa sababu akili zako zimetekwa na huyo tapeli mpenda ngono!
 
Hujui usemalo! Ni nani aliyempa huo ubunge, tena kwa mizengwe ya waziwazi na kupora kura? Sema jini walilofuga wenyewe limewageuka na kuanza kuwameza wao wenyewe.
Aisee, hatimaye hadithi nilizosoma sekondari na sinema zake zinapata uhalisia ndani ya JMT. Hili hakika ni jinamizi la Dk Victor Frankenstein (Frankenstein's monster). Bahati mbaya, mwenyewe Dk aliyeliumba keshaenda zake; kawaachia CCM maumivu.
 
Wewe ndiye unakariri. Yesu hakuja duniani ili alindwe na Mungu. Kinyume chake ni kuwa Yesu alijitoa sadaka na alipoenda Misri ni kwa sababu bado alikuwa hajatimiza kazi yake. Na zaidi Yesu hakuwahi kujigamba kuwa kama kuna mtu anataka kumdhuru basi anadhurika yeye kwanza. Gwajima ndiye anajigamba hivyo. Anajigamba kuwa haogopi chochote kwa sababu hakuna wa kumdhuru. Yaani ukitaka kumdhuru wewe unapata madhara kabla hujatekeleza unalodhamiria. Ewe ndondocha wa porn star Gwajima ona hujui hata maandiko kwa sababu akili zako zimetekwa na huyo tapeli mpenda ngono!
Wewe ndo unajigamba unajua Neno kumbe hewa.
Anayoyatamka Gwajima ni Neno limesema hivyo,ila kwa vile unaleta ujuaji wa kijiweni unaona anajivuna.

Kwani hujasoma kila silaha itakayofanyoka juu yako haitafanikiwa?
Au mtego walioutengeneza utawanasa wenyewe?
Gwajima kakosea Nini?

Hujui Eliya aliyeomba Moto ukashuka ukateketeza maaskari ndo yuleyule alikimbia kujificha kumkwepa Yezebeli?
 
Back
Top Bottom