Bungeni, Dodoma: Askofu Gwajima agoma tena kukaa kwenye kiti wakati akihojiwa leo 25/08/2021. Asema amezoea kusimama

Kuna watu wana bahati zao, huyu angekua kiongozi wa dini ya wenzetu angekua analetwa na msafara wa magari na ving'ora ya sio pungua 10 askari wagetapaka kila kona......."all animals are equal but some animals are more equal than others" animal farm.

wale wengine ukimwita kamati ya maadili atakwambia umpe kifungu,haji kwa sababu spika hana mamlaka hayo.

ndipo mambo ya kubebana kama magunia ya samadi huanza.
 
Back
Top Bottom