Bungeni: CHADEMA yawavuruga wabunge, jazba zatawala na muswada wa katiba mpya haujadiliki

Ni kweli kabisa mkuu.hata mimi nimetumia kama dakika tano kusikiliza wakati huo alikuwa akiongea Simbachawene nikajikuta napoteza hata hamu ya kula,pamoja na uamuzi wangu wa kuzima Tv ,still sina hamu ya kula,kiukweli bunge hatuna.

Si muswada wa marekebisho ya katiba tena umekuwa umekuwa muswada wa kuikejeli chadema na Lisu.Kiukweli kwa hili ccm wameteleza sana kama si kuanguka na kupoteza mwelekeo kabisa.

Hii ni aibu kubwa sana si Tanzania tu bali africa na ulimwengu mzima.

ndiyo maana we have Richmond,Downs and the like kama akili zenyewe ni hizi. Mungu atusaidie Watanzania
 
Kwa vile vitu huzidiana kwa ubora nadhani ni vyema na bora kwa vile nia yao tokea mwanzo ni mswada huu upite basi wangekaa tu mahotelini mwao alafu wakakutana kwa dkk10 na kupitisha mswada wao kuliko kukaa siku3 kwa taarabu tu na kuaribu pesa
 
Wamekariri kama baadhi ya wale warembo wetu wa tz ambavyo huwa wanavyochemka wanavyopewa vile vimaswali. nafikiri wamepewa semina shirikishi na vijikaratasi vya kukariri. wanashindwa kuwa focused na agenda iliyoko mbele yao na badala yake wanashambulia watu binafsi au chama fulani. ukweli ni aibu sana, hasa kwa watu waliowachagua kwa kuwa wasukuma wana msemo wao wa siku nyingi kuwa leshi lekikolaga nyi walyo. mavi humfanana alieyanya. maana yangu mtakuwa mmeielewa nafikiri. ni aibu kwa wapiga kura wao. poleni watanzania.
 
Unashangaa nini? Siku zote mtu aso na hoja akipewa nafasi huwa ni kufoka tu. Nimegundua ccm na cuf hawana cha kuchangia maana lazima watazamie kwa cdm kama wanafunzi darasani ndipo wapate point.
 
Naona kama ambavyo chadema walisusa mjadala wa katiba kutoka nje na wao ccm wamesusa kujadili mjadala wametoka nje ya mada hivyo wote wamesusa kujadili. mwaga ugali nitamwaga mboga mmmmmh
 
Hahahahaha jina ya huu uzi ndo limenipa kicheko zaidi.
Kweli ukitaka kuharibu siku yako jaribu kuwasikiliza wale jamaa!
 
baadhi ya wabunge wametoa hoja nzito labda hufuatilii bunge lakini pia sio rahisi kuridhika na hoja zote na hasa kama wewe ni chadema uliyeamua kuwasikiliza CCM itakuwa na uzito kama hauna chama
 
ndugu kumsifu Rais yakuwashia nini fuatilia hoja zao ni chama tawala ulitaka wasimsifu hata ingekuwa chadema ndio imeshika dola na DR Slaa ndiye Rais wetu angesifiwa na wabunge wa chadema mbona hili ni jambo la kawaida katika mfumo wa siasa za vyama vingi
 
hoja unayo lakini umeharibu umejifanya mwanaccm kwenye hitimisho wakati maneno yako yote yaliyotangulia umeonyesha ni mfuasi wa chadema. unatuchanganya
 
ukiona dalili ya taifa linaolekea kuzimu basi wasikilize wabunge wa CCM.Inafika wakati unajiuliza hivi hawa jamaa wanaishi dunia gani
 
ndugu kumsifu Rais yakuwashia nini fuatilia hoja zao ni chama tawala ulitaka wasimsifu hata ingekuwa chadema ndio imeshika dola na DR Slaa ndiye Rais wetu angesifiwa na wabunge wa chadema mbona hili ni jambo la kawaida katika mfumo wa siasa za vyama vingi

Sasa kama hoja zote ni kumsifu rais na kuponda wenzao utasikiliza ama utafatila kipi?Inatukera sana sisi wengine tusiokuwa na vyama.
 
Back
Top Bottom