Bungeni: CHADEMA yawavuruga wabunge, jazba zatawala na muswada wa katiba mpya haujadiliki

Naona anaongea tuuuu na kumfanya Nyerere kama Mungu aliyekuwa Tanzania na ambaye hakuwa na neno au baya lolote kwa Taifa hili.

Anatumia kigezo gani kumsafisha Nyerere milelle kwamba hakuwa na baya lolote ndani ya utawala wake kwa taifa la Tanzania???

Nahisi kukereka na hili Gamba Pevu kwa porojo zisizo na mwelekeo.

Nawakilisha
huyu na kundi lake si ndio wale wanaotimuliwa ccm, bora wewe sita hujasema.
 
Lets be serious hivi Ole Sendeka anaweza ku-pass hata LLB 101?! Kama yeye "mwanaume"
afanyae mdahalo na Tundu Lissu tuone masaburi yake.

Kutokana na kutokuwa na hoja no wonder badala ya kujadili vifungu vya muswaada
ameishia kumjadili Lissu as a person. Simple minds discuss people. Sendeka Tundu Lissu
na wewe kwenye sheria ni sawa na kulinganisha Mt. Kilimanjaro na kichuguu. Pole sana sio
kosa lako ni uwezo wako mdogo "aliokujalia" Maulana
 
Tundu Lisu kama huwa unatembelea Jf nadhani utakubaliana nasi kuwa huu ni muda wa CHADEMA na siyo sisiemu.They are sowing the seeds for their own destruction.
 
tundu lisu wakimbize hao jamaa mpaka wakimbie mjengoni
au walale wenyewe maana hamna jipya hapo.
 
Kazi ipo. yaani Chadema wanataka watu waendeshwe na matakwa yao pasi na kupinga chochote.

Huo ni ukondoo ambao Nyerere aliutumia na kulifikisha taifa lenu hapo lilipo.

Sasa ni wakti wa ukweli na uwazi kila mtu ana haki ya kusema na kutoa mchango wa mawazo yake bila kumuogopa mtu yeyote.

Kubalini mabadiliko na mawazo mgongano
.
 
Spika amehitimisha mjadala kwa kusema kuwa kwa uzoefu wake wanaharakati ndio walioongoza kutunga sheria nyingi.

Anawabeza sasa eti wanaongoza fujo, Mama Makinda namsikia toka mdogo ni muheshimiwa, hiki ni kizazi cha dotcom, watu wanajua na wanahoji, wangekuwa wameachia wanaostahili uongozi haya yote yasingetokea, mawazo ya kizamani kabisa, mimi ninachoshangaa hivi hawa wazee hawaoni kama nafasi hii waliyonayo ya kuandika katiba mpya itakayomnyima rais excesive power ni muafaka?

Ina maana hawatambui kama kama sio leo basi kesho wao ndio chama cha upinzani? hivi wanacheza na kizazi hiki? hata kama ni wazuri ina maana hawajui kama watanzania wengi hawaitaki CCM tena? Mi kwa upeo wangu nawaonea huruma, nilidhani huu ulikuwa muda muafaka wa kuandaa mazingira ili yeyote atakeyeingia madarakani iwe rahisi kuongoza na si kutekeleza matakwa ya chama.

Ukiwa CCM, CDM, NCCR, CUF nk bado una haki zote kama raia wa hii nchi.

Tubadilike jamani, mnatuletea enzi zile tulipopiga kura ya picha na kivuli? Viongozi wetu wanapoteza muda mwingi kutekeleza matakwa ya chama chake badala ya kutekeleza mipango balanced ya maendeleo. Watu hawalali wanajipanga ni jinsi gani ya kusafeguard interests zao.

Ndo maana hata nchi haisogei, sherehe za miaka 50 imetugharimu sh. ngapi? Ni shule na barabara ngapi zingejengwa? Lakini lazima zifanyike ili ionekane CCM imefanya kazi, kwani ukijenga barabara na ukatoa huduma bora si watu watajua tu kama umefanya kazi?

TZ yetu hii jamani i just geting very very tired!
 
sendeka anadhani akitumia jina la nyerere tutamwona mkweli

uwongo ni uwongo na ukweli ni ukweli

big up tundu!

mh sendeka kama wamthamini mwl nyerere toka moyoni mbona hujahusisha katiba, aliyosema tundu lissu na ukaenda mbele zaidi kukikemea chama chako kwakuwa kimya na vcd ya kongamano la pasaka lilotumika kumkashifu mwl nyerere? Na nilitaraji utoe tamko juu ya msemaji hasa wa vcd hiyo ambae anasadikiwa kuwa ni mhadhiri wa chuo ambacho kulifanyika mhadhara ama kongamano hilo?
 
Mwoneni kwanza na yeye huyo ole sendeka ana mwanya ka mfereji wa maji taka. Hana lolote zaidi ya kumtukuza mwalimu nyerere na kusema eti Tundu lissu haijui sheria.
 
Hivi huyu Rage ana CV gani vile?? maana mimi namkumbuka tu kwenye mambo ya mpira kama katibu wa Simba, FAT Ilala then Taifa then Lupango (Jela)!!!


Yah hiyo ya mwisho alikuwa nyapara Lupango upande wa misosi ( but i don't think kama alimaliza muda wake au ni kale kamsamaha)
 
Hivi huyu Rage ana CV gani vile?? maana mimi namkumbuka tu kwenye mambo ya mpira kama katibu wa Simba, FAT Ilala then Taifa then Lupango (Jela)!!!


Yah..hiyo ya mwisho kule lupango alikuwa nyapara kwenye misosi But i don't remember kama alimaliza nadhani kuna kamsamaha kalimtoa
 
Ndugu zangu mnaofuatilia mjadala wa katiba, je hao wanajadili katiba au kutukana chadema na mbunge Lissu. Inahitaji moyo kusikiliza. Jamani hivi wabunge wa ccm ndivyo wasivyo kuwa na hoja. Aibu, aibu, aibu. Komba anaropoka hadi kichefuchefu.
 
Ukiona mtu mzima anagombana na kivuli basi ujue anatakiwa aonane na 'specialist' haraka sana. Tangu jana CCM wanafoka na kivuli cha CHADEMA. Hivi ile hospitali ya vichaa si iko Dodoma? kwa nini wasiende hapo badala ya hii aibu wanayoionesha kwa umma?
 
Wabunge wa CCM wanatakiwa wajadili hoja na si kusukuma mashambulizi kwa CDM!Mimi binafsi sina chama lakini hili linanikera.Tazama sasa mb Bulaya anavyotoa povu!Halafu anamponda Machali bila sababu za msingi.Inasikitisha sana.
 
Li bulaya si ndio lile lilitoka Disko usiku wa manane na wabunge wa ccm wakaenda kufanya fujo guest house ya Chadema?!

Halina maadili hata kidogo. Liende zake disco huko likasakate lumba hapo bungeni sio mahali pake.
 
Back
Top Bottom