Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Lakini Mungu zaidi,uchawi si lolote wala si chochote mbele ya Mungu.
Lakini ujue ni mpaka pale Mungu atakapo amua akulinde.
Nguvu za Mungu sio zako hata uamue kuzitumia utakapo na utakavyo.
Nguvu za uchawi ni zako na unauamuzi Nazi.
 
Tusubiri jumapili, utasikia arakatakatatakararaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaakkkakakakakakaaka, nilinusa harufu ya hiziriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii adabakadabraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahskatraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hahaaaaaa pale hakuna mchungaji ni msanii tu
Basi anza wewe kuwa mchungaji.
 
Kama mtu anayejiita nabii ana maono , anayeweza kufufua watu , kuwapa utajiri ,kufukuza mashetani nk inakuwaje anaogopa kukalia kiti na microphone ambavyo kwa nguvu alizonazo angeweza kuvikemea na hayo madudu yaliyowekwa tungeyashuhudia live jana bungeni? Kwa kweli mimi sijamwelewa nabii gani huyu mwoga namna hii hadi kutegemea mabaunsa wamlinde ambao ni binadamu wenye madhambi kama wengine, au hamuamini Mungu halisi???. Anayemuelewa Nabii huyu naomba mwongozo hapa
 
Kama mtu anayejiita nabii ana maono , anayeweza kufufua watu , kuwapa utajiri ,kufukuza mashetani nk inakuwaje anaogopa kukalia kiti na microphone ambavyo kwa nguvu alizonazo angeweza kuvikemea na hayo madudu yaliyowekwa tungeyashuhudia live jana bungeni? Kwa kweli mimi sijamwelewa nabii gani huyu mwoga namna hii hadi kutegemea mabaunsa ambao ni binadamu wenye madhambi kama wengine. Anayemuelewa Nabii huyu naomba mwongozo hapa
Tangu alipochemka kumfufua Meko, kashajistukia unabii wake.

Ndo maana badala ya kuhubiri kanisani kwake anatoa series za mipasho na kukusanya sadaka za misukule wake...
 
Kama mtu anayejiita nabii ana maono , anayeweza kufufua watu , kuwapa utajiri ,kufukuza mashetani nk inakuwaje anaogopa kukalia kiti na microphone ambavyo kwa nguvu alizonazo angeweza kuvikemea na hayo madudu yaliyowekwa tungeyashuhudia live jana bungeni? Kwa kweli mimi sijamwelewa nabii gani huyu mwoga namna hii hadi kutegemea mabaunsa wamlinde ambao ni binadamu wenye madhambi kama wengine, au hamuamini Mungu halisi???. Anayemuelewa Nabii huyu naomba mwongozo hapa
Rudi kwenye bible.......... Injili ya Mathayo......

Na hao walipokwisha kwenda zao, tazama, malaika wa Bwana alimtokea Yusufu katika ndoto, akasema, Ondoka, umchukue mtoto na mama yake, ukimbilie Misri, ukae huko hata nikuambie; kwa maana Herode anataka kumtafuta mtoto amwangamize. 14 Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake usiku, akaenda zake Misri; 15 akakaa huko hata alipokufa Herode;

Kwa hio ungekuwa ni wewe ungesema kama kweli Yesu ni mwana wa mungu kwa nini baba na mama yake wamkimbize Misri, kwa nini anaogopa wanadamu watamuua, kwa kweli huyu yesu hana lolote..... you are wrong Broda..

Unajuaje kama Gwajima alikuwa na maono na kitakachotokea?

Kitendo cha Gwajima kukataa kiti na Mic tayari ni maono toshaa... haleluyaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
ila ya kijani tuwaachie wa kijani.... lakini swali lako halina maana yeyote...

Au ulitaka akiketi kama wamemtegea vya kutegwa muone kiti kikijisogeza kimiujiza... usiwe mvivu wa kufikiri broda...
 
Kama mtu anayejiita nabii ana maono , anayeweza kufufua watu , kuwapa utajiri ,kufukuza mashetani nk inakuwaje anaogopa kukalia kiti na microphone ambavyo kwa nguvu alizonazo angeweza kuvikemea na hayo madudu yaliyowekwa tungeyashuhudia live jana bungeni? Kwa kweli mimi sijamwelewa nabii gani huyu mwoga namna hii hadi kutegemea mabaunsa wamlinde ambao ni binadamu wenye madhambi kama wengine, au hamuamini Mungu halisi???. Anayemuelewa Nabii huyu naomba mwongozo hapa
Akili yako itakuwa ndogo sana
 
Acha uvivu wa kusoma bible bro!
 
Imeandikwa usimjaribu BWANA MUNGU wako
 
Tangu alipochemka kumfufua Meko, kashajistukia unabii wake.

Ndo maana badala ya kuhubiri kanisani kwake anatoa series za mipasho na kukusanya sadaka za misukule wake...
Mwanamme tu wa kawaida ambaye siyo Askofu kupeana mipasho na mwanamke ni jambo la aibu katika jamii, lakini huyu ni Askofu kabisa anatumia madhabahu kutukana mwanamke na kujibizana naye kama taarab za akina Khadija Kopa
 
Hii inatokana na asili ya kabila lake ni wabishi mno
 
Back
Top Bottom