Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Kumbe mwana ni mwoga na mwepesi kiasi hiki
''Wasi wasi ndo akili'' bwaa shee! ilitamkwa miaka mingi sana hii na wahenga! wajita wanasemaga hivi---Omwikengi akirire omuragulwa!! unajua manake mkuu........ndo sawa na iyo hapo!1
 
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.

View attachment 1904929
View attachment 1904899
Pia ningekuwa na namba ya Askofu Gwajima ningemshauri akirudi tena jumatano kwenye kamati ile, aende na kiti chake na microphone 🎤🎤 yake, awe na watu wake wa usalama wa mtangulie.​
 
Tusubiri jumapili, utasikia arakatakatatakararaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaakkkakakakakakaaka, nilinusa harufu ya hiziriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii adabakadabraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahskatraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hahaaaaaa pale hakuna mchungaji ni msanii tu
 
Kwa nini aandaliwe kiti maalumu?? tena eti kaa hapo!!! mle ukumbini si mmeona kuna viti viiingi ndugu zangu? wakati wa mandalizi hayo wa ma MC wa ccm, wa gwajima pi je alikuwepo??

yaani hii mi ccm ya leo ni mitoto midogo tupu, kuanzia 1967- 1980 haijui hata mbinu mpya za uchawi! za kuua faster, wamekariri za nyereree!!! wamezibeba km zilivyo!! sasa wanaumbuka mchana kweupeee!!

yalivo vilaza yamekaa kimya!!! ayajui yafanye nini kuondoa hizi kashfa.....
 
Tusubiri jumapili, utasikia arakatakatatakararaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaakkkakakakakakaaka, nilinusa harufu ya hiziriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii adabakadabraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahskatraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hahaaaaaa pale hakuna mchungaji ni msanii tu
Ndo hivo hata Yesu Wali/wanasemaga hakuja! alikuwa muhuni flani hivi!! hadi sasa napoandika!! jua kuwa ''Imani siyo Mali ya kila mtu!
 
Inategemea na uelewa wako wa lugha. Kwani waziri aliposema ametest mitambo wewe unaelewa ni mitambo ipi? Ya kupikia gongo au ya kuchanganya zege? Na je usiposikia wewe ina maana hakusema? Sasa wewe weka zote ulizozisikia na kuona nami nutakuwekea ambazo hujazisikia na kuziona
Shida mnapenda sana habari za kusikia!
Naomba clip inayomuonyesha Gwajima kasema raid kapewa hela hapa!

Uzuri nimeangalia na kusikiliza clip zote za Gwajima live sijaona mahali akimtaja rais na waziri kuwa wamepewa hela!
Hiyo aliisemea wapi,tunaomba ushahidi!
 
Acha awakoroge mpaka wakome na Mungu aendelee kumpa nguvu ili awanyooshe kizalendo
 
Mahojiano ya kesho watamwachia kiti kimoja tu bila viti vya ziada pembeni. Je atakataa kukaa ili wamuhoji akiwa amesimama ama atakwenda na kiti chake ukumbini?
 
Imani haba.Ukiwa na imani haba hata chembe ya hardali,hutauona ufalme wa mbinguni.
This is not an issue of imani haba hata kidogo.
The Bible says," iweni WEREVU KAMA NYOKA lakini WAPOLE KAMA HUA"
Alichofanya Askofu Gwajima ni KUTUMIA WEREVU TU siyo woga!
 
Alichofanya gwajiboy ni kuwapiga chenga ya akili kitaalamu ipo hio amewawini wao kwa kuwabadili mpangilio wajumbe hizi ni mbinu za kuwini mahojiano.
Unawahamisha wao
 
Mahojiano ya kesho watamwachia kiti kimoja tu bila viti vya ziada pembeni. Je atakataa kukaa ili wamuhoji akiwa amesimama ama atakwenda na kiti chake ukumbini?
Kama anaweza simama masaa mengi akikemea pepo atashindwa vipi simama masaa machache hayo.
 
Kwenye sekta ya mdomo kamati itapigwa vibaya thus wapo lundo dhidi ya mtu mmoja na wote watatolewa knock out.
 
Alichofanya gwajiboy ni kuwapiga chenga ya akili kitaalamu ipo hio amewawini wao kwa kuwabadili mpangilio wajumbe hizi ni mbinu za kuwini mahojiano.
Unawahamisha wao
Gwajiboy yuko very Smart upstairs!! Hilo halina ubishi. Fuatilia speech ya Gwajiboy wakti alipopewa nafasi kuhitimisha hotuba ya Rais marehemu JPM. Wakati wa kuzindua Bunge mwaka jana baada ya Uchaguzi 2020..!!
 
Back
Top Bottom